Swahili Internet Governance Glossary: Difference between revisions
No edit summary |
|||
Line 84: | Line 84: | ||
'''dotAfrica (.Africa)
''' .Africa ni jina la ngazi ya juu kwenye mtandao lililoidhinishwa na ICANN kwa ajili ya bara la Afrika na jamii zinazoegemea Afrika. .Africa gTLD itahudumu kama jina la eneo la Afrika na eneo la bahari ya bara hindi, na vilevile kwa wale ambao wapo maeneo tofauti nje ya bara.
www.africainonespace.org | '''dotAfrica (.Africa)
''' .Africa ni jina la ngazi ya juu kwenye mtandao lililoidhinishwa na ICANN kwa ajili ya bara la Afrika na jamii zinazoegemea Afrika. .Africa gTLD itahudumu kama jina la eneo la Afrika na eneo la bahari ya bara hindi, na vilevile kwa wale ambao wapo maeneo tofauti nje ya bara.
www.africainonespace.org | ||
=='''E'''== | |||
E | |||
EAIGF (East Africa IGF)
Ni kongamano la utawala wa mtandao la eneo ya Afrika mashariki linalofanyika kila mwaka kujadili maswala ibuka yenye umuhimu kwenye mtandao na matumizi yake mfano usalama, ujasusi n.k | EAIGF (East Africa IGF)
Ni kongamano la utawala wa mtandao la eneo ya Afrika mashariki linalofanyika kila mwaka kujadili maswala ibuka yenye umuhimu kwenye mtandao na matumizi yake mfano usalama, ujasusi n.k | ||
EC (European Commission)
Tume inayowakilisha bara ulaya. Tume hii inajumuisha wahudumu 28 wanaopendekeza na kuhakikisha sheria zinafuatwa na wanachama.
http://ec.europa.eu/
E-government (Electronic government)
Inaashiria matumizi ya vifaa vya habari, mawasiliano, na teknohama kuboresha shughuli za utoaji huduma kwa mashirika ya umma. | EC (European Commission)
Tume inayowakilisha bara ulaya. Tume hii inajumuisha wahudumu 28 wanaopendekeza na kuhakikisha sheria zinafuatwa na wanachama.
http://ec.europa.eu/
E-government (Electronic government)
Inaashiria matumizi ya vifaa vya habari, mawasiliano, na teknohama kuboresha shughuli za utoaji huduma kwa mashirika ya umma. |