Changes

Jump to navigation Jump to search
Line 235: Line 235:  
Ni mbinu ya kuwezesha maelewano baina ya washika dau wenye maoni tofauti kutoka kwenye umma, serikali, sekta ya kibinafsi, na mashirika ya kijamii.

    +
== '''N''' ==
 +
'''NCSG (Non Commercial Stakeholder Group)''' 
Ni muungano wa mashirika yasiyo ya kifaida ndani ya ICANN GNSO.
 NCSG ina uwezo kamili wa kupiga kura ndani ya ICANN, na inaunda na kuunga sera zinazolinda mawasiliano au shuhguli zisizo zaa kibiashara/kifaida mtandaoni.
NCSG pia inajihusisha kwenye uteuzi wa wanabodi wa ICANN.
    +

'''NCUC (Non Commercial User Constituency)''' 
Ni shirika linalounganisha  watu binafsi na mashirika mengine ya kijamii, au yasiyo ya kifaida kwenye uundaji wa sera ndani ya ICANN. Shirika hili lina uwezo wa kupiga kura halisia.
 NCUC ina wanachama 505 kutoka mataifa 134, miongoni mwao yakiwemo mashirika 117 yasiyokuwa ya kifaida, huku 388 wakiwa wanachama binafsi.
Shirika hili linaongozwa na mwenyeketi (Rafik Dammak), Mwanakamati mkuu APNIC (Zuan Zhang), Mwanakamati mkuu LACNIC (Joao Caribe), Mwanakamati mkuu ARIN (Milton Mueller), Mwanakamati mkuu RIPE NCC (Farzaneh Badii), Mwanakamati mkuu Africa (Grace Githaiga)
    +
'''NIC (Network Information Centre)''' 
Inaashiria mashirika matano ya kimaeneo (RIRs) yanayojihusisha na ugavi wa rasilmali muhimu za mtandao (IP). Mashirika hayo ni AFRINIC, APNIC, ARIN, LACNIC, na RIPE NCC.
    +
'''NIST (National Institute of Standards and Technology)''' 
Asisi hii ilianzishwa mnamo 1901 kama kituo cha utafiti cha serikali ya Marekani. NIST inajihusisha na upimaji wa uafikiaji wa viwango kwenye sayansi. Hivi karibuni, NIST imekuwa mstari wa mbele kwenye usalama wa mtandao, na vile vile ulindaji wa mtandao.
    +

'''NoMCom (The Nominating Committee)''' 
NomCom ni kamati huru iliyo na jukumu la kuwachagua wanachama nane wa bodi ya wakurugenzi na nyadhifa zingenezi ndani ya ngazi ya ICANN kama ilivyopitishwa kwenye sheria ndogo za ICANN
    +
'''NPOC (Not for Profit organizational Concerns)''' 
Ni mojawapo wa mashirika yanayojihusisha na shughuli za mashirikia yasiyo ya kifaida ndani ya ICANN.
Ilitambuliwa rasmi na bodi ya ICANN mnamo Juni 24 2011 wakati wa kongamano la ICANN la 41, Singapore.
NPOC inajihusisha haswa na sera zinazoathiri DNS. NPOC inalenga kuyapa mashirika yasiyokuwa ya kifaida sauti, na uwazi kwenye utoaji wa habari.
    +
'''NRO (Number Resource Organisation)''' 
Inajumuisha mashirika matano ya kimaeneo (RIRs) kwenye juhudi zao za kushirikiana katika ugavi, na ulinzi wa rasilmali, pamoja na uundaji wa sera kwa pamoja.

    +
'''NSF (National Science Foundation)''' 
Ni kitengo huru cha serikali kilichoundwa na bunge la Kongres mnamo 1950 ili kuendeleza sayansi; kufanikisha afya ya kitaifa, na usalama wa taifa.
http://www.nsf.gov/
    +
'''NSFNET (National Science Foundation Network)''' 
Mradi wa kompyuta uliozinduliwa 1984, ili kuwezesha utendaji kazi wa hali ya juu wa watafiti kote nchini (Marekani).
http://www.nsf.gov/about/history/nsf0050/internet/launch.htm
    +
'''NTIA (National Telecommunications and Information Administration)''' 
Ni shirika na mshauri mkuu wa rais wa Marekani kwenye maswala yanayohusu sera za mawasiliano na habari. Ni mojawapo wa nguzo muhimu kwenye mkataba baina ya serikali ya Marekani na ICANN.
http://www.ntia.doc.gov/about
    +
== '''O''' ==
 +
'''ODR (Online Dispute Resolution)''' 
Njia mbadala ya kusuluhisha mizozo mtandaoni. Ni sawa na ADR; inatumia teknolojia kutatua malumbano baina ya washirika.
    +
'''OECD (Organisation of Economic Co-operation and Development)''' 
Shirika lenye makao yake makuu Paris, Ufaransa ambalo linaafikia kutoa ukumbi ambao mataifa yanaweza kushirikiana kwa pamoja kutatua matatizo.
    +
'''OERs (Open Educational Resources)''' 
Ni rasilimali zozote za masomo zilizopo mtandaoni zinazolenga matumizi kwa umma. Leseni ya rasilimali hizi ni huria kana kwamba yeyote anaweza kuzitumia kisheria kwa kuziiga, kuzinakili, na kuzisambaza bila pingamizi, mradi amezingatia vigeo vya leseni.

    +
'''OGP (The Open Government Partnership)''' 
OGP ni mradi wa wazi wa utawala, na wa ushirikiano unaolenga kutimiza uwajibikaji kutoka kwa serikali ili kuboresha uwazi, kuwezesha wananchi, kupigana na rushwa, na kuiga mbuni mpya za teknohama kwa ajili ya kuongeza thamani na nguvu kwenye utawala.

    +
'''OSI (Open Standards Interconnection)''' 
Ni shirika la ubora wa bidhaa kwa vifaa vya mawasiliano duniani
    +
'''Open Technology Fund (OTF)''' 
Ni shirika lisilo la kifaida lenye makao yake makuu Washignton D.C ambalo azma yake ni kusaidia miradi inayolenga uhuru wa mtandao ili kuwawezesha watu kupata huduma za uwazi mtandaoni bila pingamizi.
    +
'''OTT (Over-the-top)''' 
Msamiati unaotumiwa kuashiria huduma zinazotolewa mtandaoni bila ya kushirikisha watoa huduma wa mtandao mfano Skype, Google, Facebook, Twitter)
    +
== '''P''' ==
 +
'''PC (Personal Computer)''' 
Tarakilishi au kompyuta inayolengwa kwa matumizi ya kibinafsi.
    +
'''PDP (Policy Development Process)''' 
Inaashiria hali ya uundaji sera zinazochangia mwelekeo wa utawala wa mtandao na matumizi yake
    +
'''PGP (Prety Good Privacy)''' 
Programu maarufu inayotumiwa kusimba au kusimbua barua pepe mtandaoni.
    +
'''PKI (Public Key Infrastructure)''' 
Mkusanyiko wa maunzi, program, watu, sera, na mbinu zinazohitajika kutengeneza, kusimamia, kusambaza, kutumia, kuhifadhi, na kutengua vyeti vya kidijitali.
http://en.wikipedia.org/wiki/Public-key_infrastructure
   −
N
+
'''PRISM''' 
Programu ya kisiri inayotumiwa na idara ya usalama ya Marekani (NSA), kukusanya  mawasiliano yanayofanyika kwenye mtandao.
Mpango huu wa kisiri ulizinduliwa mnamo mwaka wa 2007 na serikali ya George W. Bush.
NCSG (Non Commercial Stakeholder Group)
Ni muungano wa mashirika yasiyo ya kifaida ndani ya ICANN GNSO.
NCSG ina uwezo kamili wa kupiga kura ndani ya ICANN, na inaunda na kuunga sera zinazolinda mawasiliano au shuhguli zisizo zaa kibiashara/kifaida mtandaoni.
NCSG pia inajihusisha kwenye uteuzi wa wanabodi wa ICANN.
  −

NCUC (Non Commercial User Constituency)
Ni shirika linalounganisha  watu binafsi na mashirika mengine ya kijamii, au yasiyo ya kifaida kwenye uundaji wa sera ndani ya ICANN. Shirika hili lina uwezo wa kupiga kura halisia.
NCUC ina wanachama 505 kutoka mataifa 134, miongoni mwao yakiwemo mashirika 117 yasiyokuwa ya kifaida, huku 388 wakiwa wanachama binafsi.
Shirika hili linaongozwa na mwenyeketi (Rafik Dammak), Mwanakamati mkuu APNIC (Zuan Zhang), Mwanakamati mkuu LACNIC (Joao Caribe), Mwanakamati mkuu ARIN (Milton Mueller), Mwanakamati mkuu RIPE NCC (Farzaneh Badii), Mwanakamati mkuu Africa (Grace Githaiga)
  −
NIC (Network Information Centre)
Inaashiria mashirika matano ya kimaeneo (RIRs) yanayojihusisha na ugavi wa rasilmali muhimu za mtandao (IP). Mashirika hayo ni AFRINIC, APNIC, ARIN, LACNIC, na RIPE NCC.
     −
NIST (National Institute of Standards and Technology)
Asisi hii ilianzishwa mnamo 1901 kama kituo cha utafiti cha serikali ya Marekani. NIST inajihusisha na upimaji wa uafikiaji wa viwango kwenye sayansi. Hivi karibuni, NIST imekuwa mstari wa mbele kwenye usalama wa mtandao, na vile vile ulindaji wa mtandao.

NoMCom (The Nominating Committee) 
NomCom ni kamati huru iliyo na jukumu la kuwachagua wanachama nane wa bodi ya wakurugenzi na nyadhifa zingenezi ndani ya ngazi ya ICANN kama ilivyopitishwa kwenye sheria ndogo za ICANN
+
'''PS (Packet Switching)''' 
Ni mbinu inayotumia itifaki za mtandao wa kompyuta kuwasilisha data kwenye mwishilio.
http://compnetworking.about.com/od/networkprotocols/f/packet-switch.htm  
NPOC (Not for Profit organizational Concerns)
Ni mojawapo wa mashirika yanayojihusisha na shughuli za mashirikia yasiyo ya kifaida ndani ya ICANN.
Ilitambuliwa rasmi na bodi ya ICANN mnamo Juni 24 2011 wakati wa kongamano la ICANN la 41, Singapore.
NPOC inajihusisha haswa na sera zinazoathiri DNS. NPOC inalenga kuyapa mashirika yasiyokuwa ya kifaida sauti, na uwazi kwenye utoaji wa habari.
  −
NRO (Number Resource Organisation)
Inajumuisha mashirika matano ya kimaeneo (RIRs) kwenye juhudi zao za kushirikiana katika ugavi, na ulinzi wa rasilmali, pamoja na uundaji wa sera kwa pamoja.

  −
NSF (National Science Foundation)
Ni kitengo huru cha serikali kilichoundwa na bunge la Kongres mnamo 1950 ili kuendeleza sayansi; kufanikisha afya ya kitaifa, na usalama wa taifa.
http://www.nsf.gov/
  −
NSFNET (National Science Foundation Network)
Mradi wa kompyuta uliozinduliwa 1984, ili kuwezesha utendaji kazi wa hali ya juu wa watafiti kote nchini (Marekani).
http://www.nsf.gov/about/history/nsf0050/internet/launch.htm
  −
NTIA (National Telecommunications and Information Administration)
Ni shirika na mshauri mkuu wa rais wa Marekani kwenye maswala yanayohusu sera za mawasiliano na habari. Ni mojawapo wa nguzo muhimu kwenye mkataba baina ya serikali ya Marekani na ICANN.
http://www.ntia.doc.gov/about
  −
 
  −
 
  −
 
  −
 
  −
 
  −
 
  −
 
  −
 
  −
 
  −
 
  −
O
  −
ODR (Online Dispute Resolution)
Njia mbadala ya kusuluhisha mizozo mtandaoni. Ni sawa na ADR; inatumia teknolojia kutatua malumbano baina ya washirika.
  −
OECD (Organisation of Economic Co-operation and Development)
Shirika lenye makao yake makuu Paris, Ufaransa ambalo linaafikia kutoa ukumbi ambao mataifa yanaweza kushirikiana kwa pamoja kutatua matatizo.
  −
OERs (Open Educational Resources)
Ni rasilimali zozote za masomo zilizopo mtandaoni zinazolenga matumizi kwa umma. Leseni ya rasilimali hizi ni huria kana kwamba yeyote anaweza kuzitumia kisheria kwa kuziiga, kuzinakili, na kuzisambaza bila pingamizi, mradi amezingatia vigeo vya leseni.

OGP (The Open Government Partnership)
OGP ni mradi wa wazi wa utawala, na wa ushirikiano unaolenga kutimiza uwajibikaji kutoka kwa serikali ili kuboresha uwazi, kuwezesha wananchi, kupigana na rushwa, na kuiga mbuni mpya za teknohama kwa ajili ya kuongeza thamani na nguvu kwenye utawala.

  −
OSI (Open Standards Interconnection)
Ni shirika la ubora wa bidhaa kwa vifaa vya mawasiliano duniani
  −
Open Technology Fund (OTF)
Ni shirika lisilo la kifaida lenye makao yake makuu Washignton D.C ambalo azma yake ni kusaidia miradi inayolenga uhuru wa mtandao ili kuwawezesha watu kupata huduma za uwazi mtandaoni bila pingamizi.
  −
OTT (Over-the-top)
Msamiati unaotumiwa kuashiria huduma zinazotolewa mtandaoni bila ya kushirikisha watoa huduma wa mtandao mfano Skype, Google, Facebook, Twitter)
  −
 
  −
 
  −
 
  −
 
  −
 
  −
P
  −
PC (Personal Computer)
Tarakilishi au kompyuta inayolengwa kwa matumizi ya kibinafsi.
  −
PDP (Policy Development Process)
Inaashiria hali ya uundaji sera zinazochangia mwelekeo wa utawala wa mtandao na matumizi yake
  −
PGP (Prety Good Privacy)
Programu maarufu inayotumiwa kusimba au kusimbua barua pepe mtandaoni.
  −
PKI (Public Key Infrastructure)
Mkusanyiko wa maunzi, program, watu, sera, na mbinu zinazohitajika kutengeneza, kusimamia, kusambaza, kutumia, kuhifadhi, na kutengua vyeti vya kidijitali.
http://en.wikipedia.org/wiki/Public-key_infrastructure
  −
PRISM
Programu ya kisiri inayotumiwa na idara ya usalama ya Marekani (NSA), kukusanya  mawasiliano yanayofanyika kwenye mtandao.
Mpango huu wa kisiri ulizinduliwa mnamo mwaka wa 2007 na serikali ya George W. Bush.

  −
PS (Packet Switching)
Ni mbinu inayotumia itifaki za mtandao wa kompyuta kuwasilisha data kwenye mwishilio.
http://compnetworking.about.com/od/networkprotocols/f/packet-switch.htm  
       
Navigation menu