Jump to content

Portal:Internet Governance: Difference between revisions

From ICANNWiki
No edit summary
No edit summary
Line 1: Line 1:
'''KICTANET'''
'''NPOC (Not for Profit organizational
Concerns)'''


<nowiki> </nowiki>KICTANET ni uga unaowaunganisha washika dau mbali mbali, watu na
Ni mojawapo wa mashirika yanayojihusisha na shughuli za mashirikia
mashirika yenye nia ya kujihusisha na sera za teknohama nchini Kenya. Mtandao
yasiyo ya kifaida ndani ya ICANN. Ilitambuliwa rasmi na bodi ya ICANN mnamo
huu unalenga kuleta msisimko wa mageuzi kwenye sekta ya teknohama ili kutoa
Juni 24 2011 wakati wa kongamano la ICANN la 41, Singapore. NPOC inajihusisha
msaada kwenye azma ya taifa kuwezesha maendeleo kupitia teknohama.
haswa na sera zinazoathiri DNS. NPOC inalenga kuyapa mashirika yasiyokuwa ya
kifaida sauti, na uwazi kwenye utoaji wa habari.
 
'''Open Science'''
 
Ni wimbi linalolenga kutoa na kusambaza taarifa za utafiti wa
sayanzi wazi na huru kwenye umma kupitia mtandao.

Revision as of 19:05, 27 June 2016

NPOC (Not for Profit organizational Concerns)

Ni mojawapo wa mashirika yanayojihusisha na shughuli za mashirikia yasiyo ya kifaida ndani ya ICANN. Ilitambuliwa rasmi na bodi ya ICANN mnamo Juni 24 2011 wakati wa kongamano la ICANN la 41, Singapore. NPOC inajihusisha haswa na sera zinazoathiri DNS. NPOC inalenga kuyapa mashirika yasiyokuwa ya kifaida sauti, na uwazi kwenye utoaji wa habari.

Open Science

Ni wimbi linalolenga kutoa na kusambaza taarifa za utafiti wa sayanzi wazi na huru kwenye umma kupitia mtandao.