Portal:Internet Governance: Difference between revisions
Jacob Iteba (talk | contribs) No edit summary |
Jacob Iteba (talk | contribs) No edit summary |
||
Line 1: | Line 1: | ||
''' | '''Linkedin''' | ||
Ni | Ni mtandao wa kijamii. Tofauti na mitandao mingine ya kijamii, | ||
LinkedIn ina muegemeo wa kibiashara ambao unalenga kuwaunganisha waajiri au | |||
waajiriwa na mitandao mingine ya watu. Mtandao huu ulianzishwa Disemba 14 2002 | |||
na kufikia sasa una watumiaji milioni 400. Makao yake makuu ni Mountain View, | |||
California, Marekani. Hivi Karibuni, kampuni ya Microsoft imetangaza | |||
kukamilisha harakati za ununuzi wa LinkedIn kwa kitita cha $26.2 bilioni. | |||
''' | '''Dropbox''' | ||
Ni | Mtandao unaowezesha watu kuhifadhi picha, nakala, video, na | ||
faili zingine kwa ajili ya urahisi wa usambazaji. Dropbox ilianzishwa 2007 | |||
(Juni, 2007), na makao makuu ya Dropbox ni San Francisco, California. | |||
'''Wiki''' | |||
Wiki ni jina linalotokana na neon “wiki wiki” ambalo lina | |||
ashiria “haraka” kwenye lugha ya Hawaii. | |||
Wiki ni kitengo cha mtandao kinachowezesha jamii ya watu | |||
kushirikiana na kuchangia maelezo na mijadala mbali mbali yenye mada ya | |||
kuvutia. | |||
'''Wikileaks''' | |||
Ni hifadhi na pia shirika la kimataifa la habari lililoundwa na | |||
Julian Assange 2006. Wikileaks inajihusisha na utoaji wa taarifa nyeti, za siri | |||
zinazohusiana na ufisadi, ujasusi, vita na kadhalika.'''<nowiki/>''' |
Revision as of 19:06, 27 June 2016
Ni mtandao wa kijamii. Tofauti na mitandao mingine ya kijamii, LinkedIn ina muegemeo wa kibiashara ambao unalenga kuwaunganisha waajiri au waajiriwa na mitandao mingine ya watu. Mtandao huu ulianzishwa Disemba 14 2002 na kufikia sasa una watumiaji milioni 400. Makao yake makuu ni Mountain View, California, Marekani. Hivi Karibuni, kampuni ya Microsoft imetangaza kukamilisha harakati za ununuzi wa LinkedIn kwa kitita cha $26.2 bilioni.
Dropbox
Mtandao unaowezesha watu kuhifadhi picha, nakala, video, na faili zingine kwa ajili ya urahisi wa usambazaji. Dropbox ilianzishwa 2007 (Juni, 2007), na makao makuu ya Dropbox ni San Francisco, California.
Wiki
Wiki ni jina linalotokana na neon “wiki wiki” ambalo lina ashiria “haraka” kwenye lugha ya Hawaii.
Wiki ni kitengo cha mtandao kinachowezesha jamii ya watu kushirikiana na kuchangia maelezo na mijadala mbali mbali yenye mada ya kuvutia.
Wikileaks
Ni hifadhi na pia shirika la kimataifa la habari lililoundwa na Julian Assange 2006. Wikileaks inajihusisha na utoaji wa taarifa nyeti, za siri zinazohusiana na ufisadi, ujasusi, vita na kadhalika.