SNMP
==SNMP (simple network management protocol)==
SNMP ni moja ya itifaki ya Intaneti kwa ajili ya kukusanya na kupanga taarifa kuhusu kudhibiti vifaa kwenye mitandao na itifaki ya intaneti na kwa kubadilisha taarifa ambayo itafanya tabia ya kifaa kubadilika. Vifaa ambavyo kwa kawaida kusaidia SNMP ni pamoja waya wa modemu, ruta, swichi, seva, vituo vya mitandao, Printa, na zaidi.
SNMP hutumika sana katika usimamizi wa mtandao na ufuatiliaji wa mtandao. SNMP hufanya usimamizi wa taarifa katika mfumo na vigezo ambayo imeweza kupangwa katika usimamizi ambao huelezea hali ya mfumo na muundo.
matoleo matatu ya SNMP ambayo yametengenezwa na kusambazwa. toleo la kwanza kabisa la SNMPv1 na baade lilifwata la pili la SNMPv2c na la tatu la SNMPv3 toleo la pili na la tatu yalitolewa ili kukuza na kufanya maboresho katika utendaji, kubadilika na usalama.
mtandao wa SNMP uliodhibitiwa una sehemu kuu tatu: 1. kifaa kilicho dhibitiwa ni kifaa cha mtandao kinachotengeneza sura ya mbele ya SNMP ambayo huruhusu njia moya au mbili za kuweza kutumia taarifa fulani muhimu katika kifaa hicho.
2. wakala ni programu moduli ya kudhibiti mtandao ambao unakaa kwenye kifaa kilicho dhiibitiwa. wakala ana ufahamu wa udhibitishwaji wa taarifa na kuzitafsiri hizo taarifa kutoka katika fomu fulani kwenye SNMP.
3.mtandao wa mfumo wa usimamizi ni programu inayofanya kazi ya usimamizi.na pia inafanyakazi na programu za kusimamia na kudhibiti vifaa
faida za kutumia SNMP kwa kusimamia mitandao na vifaa vya mitandao (a) inakupa mtazamo na picha kamili ya mtandao wako mzima (b)udhibishwaji wa mtandao husaidia kupunguza matatizo ya kiusalama ya mitandao (c)SNMP inarhusu mashine za mtandao zaidi ya moja kuweza kusimamia mtandao na kuudhibiti
hitimisho SNMP insaidia sana katika kusimamia mtandao na kupunguza madhara ambayo yanaweza kuikumba mtandao na kuufanya usiwe salama ila kwa kupitia SNMP inafanya mtandao wao kuwa wenye nguvu na kujikinga kutoka kwa walaghai.