Portal:Internet Governance

From ICANNWiki
Revision as of 19:04, 27 June 2016 by Jacob Iteba (talk | contribs)
Jump to navigation Jump to search

KICTANET

KICTANET ni uga unaowaunganisha washika dau mbali mbali, watu na mashirika yenye nia ya kujihusisha na sera za teknohama nchini Kenya. Mtandao huu unalenga kuleta msisimko wa mageuzi kwenye sekta ya teknohama ili kutoa msaada kwenye azma ya taifa kuwezesha maendeleo kupitia teknohama.