Portal:Internet Governance

From ICANNWiki
Revision as of 19:05, 27 June 2016 by Jacob Iteba (talk | contribs)
Jump to navigation Jump to search

NPOC (Not for Profit organizational Concerns)

Ni mojawapo wa mashirika yanayojihusisha na shughuli za mashirikia yasiyo ya kifaida ndani ya ICANN. Ilitambuliwa rasmi na bodi ya ICANN mnamo Juni 24 2011 wakati wa kongamano la ICANN la 41, Singapore. NPOC inajihusisha haswa na sera zinazoathiri DNS. NPOC inalenga kuyapa mashirika yasiyokuwa ya kifaida sauti, na uwazi kwenye utoaji wa habari.

Open Science

Ni wimbi linalolenga kutoa na kusambaza taarifa za utafiti wa sayanzi wazi na huru kwenye umma kupitia mtandao.