Changes

Jump to navigation Jump to search
Line 198: Line 198:  
'''.KE (dot KE)''' 
.ke ni utambulisho wa nchi ya Kenya (ccTLD)kwenye mtandao.
.ke ilikabidhiwa kwenye Root Zone mnamo Aprili 1993. 
Daktari Shem Ochuodho (usimamizi) na Randy Bush (ufundi) walikuwa wahudumu wa kujitolea kusimamia maswala ya .ke.
Karibia mwaka wa 2000, jamii ya washika dau, wa umma na kibinafsi, waliafikiana na kuunda shirika lisilokuwa ka kifaida kwa ajili ya kusimamia maswala ya .ke.
.ke inajivunia takribani sajili 60,000 hadi sasa, na imeiga mfumo wa usajili {registry/registrar). Usajili mwingi unatekelezwa na kampuni zilizopo nchini Kenya.

KENIC (Kenya Network Information Centre)
Shirika lisilo ka kifaida ambalo linasimamia shughuli za .ke.
www.kenic.or.ke  
 
   −

'''KESIG (Kenya School of Internet Governance)''' 
Ni mradi unaolenga kuwahudumia waandaaji na wazungumzaji wa makongamano ya utawala wa mtandao (IG) kimataifa, kimaeneo, kitaifa nchini Kenya kupitia kozi za hali ya juu zinazoshughulikia mijadala ya utawala wa mtandao.
+

Shule hii ilizinduliwa rasmi Julai 2016 kwa ufadhili wa HIVOS.

   Line 207: Line 207:  
'''KIXP (Kenya Internet Exchange Point)''' 
Ni kituo kinachoruhusu ubadilishana wa mawasiliano baina ya mitandao tofauti nchini Kenya bila ya kuyaelekeza kwenye mitandao mingine ya kimataifa.
 
=='''L''' ==
L
+
'''LACNIC (Latin America and Caribbean Network Information Centre)''' 
Ni shirika linalosimamia ugavi wa rasilmali muhimu za mtandao eneo la Marekani ya kusini, na sehemu za karibea.
http://www.lacnic.net/web/portal/inicio  
LACNIC (Latin America and Caribbean Network Information Centre)
Ni shirika linalosimamia ugavi wa rasilmali muhimu za mtandao eneo la Marekani ya kusini, na sehemu za karibea.
http://www.lacnic.net/web/portal/inicio  
     −
LIR (Local Internet Registry)
Mashirika yanayojihusisha na usambazaji wa anwani za mtandaoni na usajili wa rasilimali ndani ya nchi husika.
+
'''LIR (Local Internet Registry)''' 
Mashirika yanayojihusisha na usambazaji wa anwani za mtandaoni na usajili wa rasilimali ndani ya nchi husika.
    +
== '''M''' ==
 +
'''MAG (Multi-stakeholder Advisory Group)''' 
Ni jopo linalowajibika kuandaa kongamano la IGF kila mwaka.
Kando na kongamano kuu la IGF, kuna makongamano ya kitaifa (local IGF), kimaeneo (regional IGF) mfano EAIGF, WAIGF, SAIGF, na AfIGF.
    +
'''MDGs (Millenium Development Goals)''' 
Malengo ya maendeleo ya millennia
http://www.un.org/millenniumgoals/ 
Makubaliano ya mataifa wanacjama wa umoha wa mataifa (UN) kushirikiana kutimiza malengo nane ili kuafikia matakwa ya masikini.
    +
'''Mbps (Megabits per seconds)''' 
Kipimo cha mwendo wa uhamisho wa data; megabit kwa sekunde au bits milioni kwa sekunde (Mbps).

    +
'''MILNET (Military Network)''' 
Sehemu ya ARPANET iliyotumika na idara ua ulinzi ya Marekani (DoD).
http://en.wikipedia.org/wiki/MILNET
    +
'''MIT (Massachusetts Institute of Technology)''' 
Chuo kilichoanzishwa mwaka wa 1861 katika jimbo la Massachusetts, Marekani, kwa ajili ya usomi wa sayansi na teknolojia.
http://web.mit.edu/
   −
M
+
'''MODEM  (Modulate-Demodulate)''' 
Kifaa kinachotumiwa kutuma na kupokea data ya kidijitali.

MAG (Multi-stakeholder Advisory Group) 
Ni jopo linalowajibika kuandaa kongamano la IGF kila mwaka.
Kando na kongamano kuu la IGF, kuna makongamano ya kitaifa (local IGF), kimaeneo (regional IGF) mfano EAIGF, WAIGF, SAIGF, na AfIGF.
  −
MDGs (Millenium Development Goals)
Malengo ya maendeleo ya millennia
http://www.un.org/millenniumgoals/ 
Makubaliano ya mataifa wanacjama wa umoha wa mataifa (UN) kushirikiana kutimiza malengo nane ili kuafikia matakwa ya masikini.
  −
Mbps (Megabits per seconds)
Kipimo cha mwendo wa uhamisho wa data; megabit kwa sekunde au bits milioni kwa sekunde (Mbps).

  −
MILNET (Military Network)
Sehemu ya ARPANET iliyotumika na idara ua ulinzi ya Marekani (DoD).
http://en.wikipedia.org/wiki/MILNET
  −
MIT (Massachusetts Institute of Technology)
Chuo kilichoanzishwa mwaka wa 1861 katika jimbo la Massachusetts, Marekani, kwa ajili ya usomi wa sayansi na teknolojia.
http://web.mit.edu/
  −
MODEM  (Modulate-Demodulate)
Kifaa kinachotumiwa kutuma na kupokea data ya kidijitali.

  −
MOOCS (Massive Open Online Courses)
Ni kozi huria za mtandaoni zinalenga washiriki wengi. Kando na kozi za kawaida, kozi hizi zinajumuisha video kutoa masomo kwa washiriki.
     −
MoU (Memorandum of Understanding)
Mkubaliano wa maelewano unaotoa taarifa za kina kwenye mkataba baina ya pande husika, hujumuisha matakwa na majukumu ya wahusika. Kwenye Nyanja za utawala wa mtandao, neon hili linatumiwa kuashiria makubaliano baina ya ICANN na idara ya kibiashara ya Marekani (DoC)
+
'''MOOCS (Massive Open Online Courses)''' 
Ni kozi huria za mtandaoni zinalenga washiriki wengi. Kando na kozi za kawaida, kozi hizi zinajumuisha video kutoa masomo kwa washiriki.
MP3 (Motion Picture Experts Group, Audio Layer 3)
Ni faili endelezi kwa faili ya MP3.
+
 
MSP (Multistakeholder Process)
+
'''MoU (Memorandum of Understanding)''' 
Mkubaliano wa maelewano unaotoa taarifa za kina kwenye mkataba baina ya pande husika, hujumuisha matakwa na majukumu ya wahusika. Kwenye Nyanja za utawala wa mtandao, neon hili linatumiwa kuashiria makubaliano baina ya ICANN na idara ya kibiashara ya Marekani (DoC)
 +
 
 +
'''MP3 (Motion Picture Experts Group, Audio Layer 3)''' 
Ni faili endelezi kwa faili ya MP3.
 +
 
 +
'''MSP (Multistakeholder Process)'''
 
http://toronto45.icann.org/node/34391  
 
http://toronto45.icann.org/node/34391  
 
Ni mbinu ya kuwezesha maelewano baina ya washika dau wenye maoni tofauti kutoka kwenye umma, serikali, sekta ya kibinafsi, na mashirika ya kijamii.

Navigation menu