Changes

no edit summary
Line 1: Line 1: −
MISAMIATI YA UTAWALA WA MTANDAO

+
<big>[[Swahili Internet Governance Glossary#A|A]] | [[Swahili Internet Governance Glossary#B|B]] | [[Swahili Internet Governance Glossary#C|C]] | [[Swahili Internet Governance Glossary#D|D]] | [[Swahili Internet Governance Glossary#E|E]] |  [[Swahili Internet Governance Glossary#F|F]] | [[Swahili Internet Governance Glossary#G|G]] | [[Swahili Internet Governance Glossary#H|H]] | [[Swahili Internet Governance Glossary#I|I]] | [[Swahili Internet Governance Glossary#J|J]] | [[Swahili Internet Governance Glossary#K|K]] |  [[Swahili Internet Governance Glossary#L|L]] | [[Swahili Internet Governance Glossary#M|M]] | [[Swahili Internet Governance Glossary#N|N]] | [[Swahili Internet Governance Glossary#O|O]] | [[Swahili Internet Governance Glossary#P|P]] |  [[Swahili Internet Governance Glossary#Q|Q]] | [[Swahili Internet Governance Glossary#R|R]] | [[Swahili Internet Governance Glossary#S|S]] | [[Swahili Internet Governance Glossary#T|T]] | [[Swahili Internet Governance Glossary#U|U]] | [[Swahili Internet Governance Glossary#V|V]] |  [[Swahili Internet Governance Glossary#W|W]] | [[Swahili Internet Governance Glossary#X|X]] | [[Swahili Internet Governance Glossary#Y|Y]] |  [[Swahili Internet Governance Glossary#Z|Z]]</big>__NOTOC__
<br>
   
=='''A'''==
 
=='''A'''==
 
<br>
 
<br>
Line 235: Line 234:  
Ni mbinu ya kuwezesha maelewano baina ya washika dau wenye maoni tofauti kutoka kwenye umma, serikali, sekta ya kibinafsi, na mashirika ya kijamii.

== '''N''' ==
 +
'''NCSG (Non Commercial Stakeholder Group)''' 
Ni muungano wa mashirika yasiyo ya kifaida ndani ya ICANN GNSO.
 NCSG ina uwezo kamili wa kupiga kura ndani ya ICANN, na inaunda na kuunga sera zinazolinda mawasiliano au shuhguli zisizo zaa kibiashara/kifaida mtandaoni.
NCSG pia inajihusisha kwenye uteuzi wa wanabodi wa ICANN.
    +

'''NCUC (Non Commercial User Constituency)''' 
Ni shirika linalounganisha  watu binafsi na mashirika mengine ya kijamii, au yasiyo ya kifaida kwenye uundaji wa sera ndani ya ICANN. Shirika hili lina uwezo wa kupiga kura halisia.
 NCUC ina wanachama 505 kutoka mataifa 134, miongoni mwao yakiwemo mashirika 117 yasiyokuwa ya kifaida, huku 388 wakiwa wanachama binafsi.
Shirika hili linaongozwa na mwenyeketi (Rafik Dammak), Mwanakamati mkuu APNIC (Zuan Zhang), Mwanakamati mkuu LACNIC (Joao Caribe), Mwanakamati mkuu ARIN (Milton Mueller), Mwanakamati mkuu RIPE NCC (Farzaneh Badii), Mwanakamati mkuu Africa (Grace Githaiga)
    +
'''NIC (Network Information Centre)''' 
Inaashiria mashirika matano ya kimaeneo (RIRs) yanayojihusisha na ugavi wa rasilmali muhimu za mtandao (IP). Mashirika hayo ni AFRINIC, APNIC, ARIN, LACNIC, na RIPE NCC.
    +
'''NIST (National Institute of Standards and Technology)''' 
Asisi hii ilianzishwa mnamo 1901 kama kituo cha utafiti cha serikali ya Marekani. NIST inajihusisha na upimaji wa uafikiaji wa viwango kwenye sayansi. Hivi karibuni, NIST imekuwa mstari wa mbele kwenye usalama wa mtandao, na vile vile ulindaji wa mtandao.
    +

'''NoMCom (The Nominating Committee)''' 
NomCom ni kamati huru iliyo na jukumu la kuwachagua wanachama nane wa bodi ya wakurugenzi na nyadhifa zingenezi ndani ya ngazi ya ICANN kama ilivyopitishwa kwenye sheria ndogo za ICANN
    +
'''NPOC (Not for Profit organizational Concerns)''' 
Ni mojawapo wa mashirika yanayojihusisha na shughuli za mashirikia yasiyo ya kifaida ndani ya ICANN.
Ilitambuliwa rasmi na bodi ya ICANN mnamo Juni 24 2011 wakati wa kongamano la ICANN la 41, Singapore.
NPOC inajihusisha haswa na sera zinazoathiri DNS. NPOC inalenga kuyapa mashirika yasiyokuwa ya kifaida sauti, na uwazi kwenye utoaji wa habari.
    +
'''NRO (Number Resource Organisation)''' 
Inajumuisha mashirika matano ya kimaeneo (RIRs) kwenye juhudi zao za kushirikiana katika ugavi, na ulinzi wa rasilmali, pamoja na uundaji wa sera kwa pamoja.

    +
'''NSF (National Science Foundation)''' 
Ni kitengo huru cha serikali kilichoundwa na bunge la Kongres mnamo 1950 ili kuendeleza sayansi; kufanikisha afya ya kitaifa, na usalama wa taifa.
http://www.nsf.gov/
    +
'''NSFNET (National Science Foundation Network)''' 
Mradi wa kompyuta uliozinduliwa 1984, ili kuwezesha utendaji kazi wa hali ya juu wa watafiti kote nchini (Marekani).
http://www.nsf.gov/about/history/nsf0050/internet/launch.htm
    +
'''NTIA (National Telecommunications and Information Administration)''' 
Ni shirika na mshauri mkuu wa rais wa Marekani kwenye maswala yanayohusu sera za mawasiliano na habari. Ni mojawapo wa nguzo muhimu kwenye mkataba baina ya serikali ya Marekani na ICANN.
http://www.ntia.doc.gov/about
    +
== '''O''' ==
 +
'''ODR (Online Dispute Resolution)''' 
Njia mbadala ya kusuluhisha mizozo mtandaoni. Ni sawa na ADR; inatumia teknolojia kutatua malumbano baina ya washirika.
    +
'''OECD (Organisation of Economic Co-operation and Development)''' 
Shirika lenye makao yake makuu Paris, Ufaransa ambalo linaafikia kutoa ukumbi ambao mataifa yanaweza kushirikiana kwa pamoja kutatua matatizo.
    +
'''OERs (Open Educational Resources)''' 
Ni rasilimali zozote za masomo zilizopo mtandaoni zinazolenga matumizi kwa umma. Leseni ya rasilimali hizi ni huria kana kwamba yeyote anaweza kuzitumia kisheria kwa kuziiga, kuzinakili, na kuzisambaza bila pingamizi, mradi amezingatia vigeo vya leseni.

    +
'''OGP (The Open Government Partnership)''' 
OGP ni mradi wa wazi wa utawala, na wa ushirikiano unaolenga kutimiza uwajibikaji kutoka kwa serikali ili kuboresha uwazi, kuwezesha wananchi, kupigana na rushwa, na kuiga mbuni mpya za teknohama kwa ajili ya kuongeza thamani na nguvu kwenye utawala.

    +
'''OSI (Open Standards Interconnection)''' 
Ni shirika la ubora wa bidhaa kwa vifaa vya mawasiliano duniani
    +
'''Open Technology Fund (OTF)''' 
Ni shirika lisilo la kifaida lenye makao yake makuu Washignton D.C ambalo azma yake ni kusaidia miradi inayolenga uhuru wa mtandao ili kuwawezesha watu kupata huduma za uwazi mtandaoni bila pingamizi.
    +
'''OTT (Over-the-top)''' 
Msamiati unaotumiwa kuashiria huduma zinazotolewa mtandaoni bila ya kushirikisha watoa huduma wa mtandao mfano Skype, Google, Facebook, Twitter)
    +
== '''P''' ==
 +
'''PC (Personal Computer)''' 
Tarakilishi au kompyuta inayolengwa kwa matumizi ya kibinafsi.
    +
'''PDP (Policy Development Process)''' 
Inaashiria hali ya uundaji sera zinazochangia mwelekeo wa utawala wa mtandao na matumizi yake
    +
'''PGP (Prety Good Privacy)''' 
Programu maarufu inayotumiwa kusimba au kusimbua barua pepe mtandaoni.
    +
'''PKI (Public Key Infrastructure)''' 
Mkusanyiko wa maunzi, program, watu, sera, na mbinu zinazohitajika kutengeneza, kusimamia, kusambaza, kutumia, kuhifadhi, na kutengua vyeti vya kidijitali.
http://en.wikipedia.org/wiki/Public-key_infrastructure
   −
N
+
'''PRISM''' 
Programu ya kisiri inayotumiwa na idara ya usalama ya Marekani (NSA), kukusanya  mawasiliano yanayofanyika kwenye mtandao.
Mpango huu wa kisiri ulizinduliwa mnamo mwaka wa 2007 na serikali ya George W. Bush.
NCSG (Non Commercial Stakeholder Group)
Ni muungano wa mashirika yasiyo ya kifaida ndani ya ICANN GNSO.
NCSG ina uwezo kamili wa kupiga kura ndani ya ICANN, na inaunda na kuunga sera zinazolinda mawasiliano au shuhguli zisizo zaa kibiashara/kifaida mtandaoni.
NCSG pia inajihusisha kwenye uteuzi wa wanabodi wa ICANN.
  −

NCUC (Non Commercial User Constituency)
Ni shirika linalounganisha  watu binafsi na mashirika mengine ya kijamii, au yasiyo ya kifaida kwenye uundaji wa sera ndani ya ICANN. Shirika hili lina uwezo wa kupiga kura halisia.
NCUC ina wanachama 505 kutoka mataifa 134, miongoni mwao yakiwemo mashirika 117 yasiyokuwa ya kifaida, huku 388 wakiwa wanachama binafsi.
Shirika hili linaongozwa na mwenyeketi (Rafik Dammak), Mwanakamati mkuu APNIC (Zuan Zhang), Mwanakamati mkuu LACNIC (Joao Caribe), Mwanakamati mkuu ARIN (Milton Mueller), Mwanakamati mkuu RIPE NCC (Farzaneh Badii), Mwanakamati mkuu Africa (Grace Githaiga)
  −
NIC (Network Information Centre)
Inaashiria mashirika matano ya kimaeneo (RIRs) yanayojihusisha na ugavi wa rasilmali muhimu za mtandao (IP). Mashirika hayo ni AFRINIC, APNIC, ARIN, LACNIC, na RIPE NCC.
     −
NIST (National Institute of Standards and Technology)
Asisi hii ilianzishwa mnamo 1901 kama kituo cha utafiti cha serikali ya Marekani. NIST inajihusisha na upimaji wa uafikiaji wa viwango kwenye sayansi. Hivi karibuni, NIST imekuwa mstari wa mbele kwenye usalama wa mtandao, na vile vile ulindaji wa mtandao.

NoMCom (The Nominating Committee) 
NomCom ni kamati huru iliyo na jukumu la kuwachagua wanachama nane wa bodi ya wakurugenzi na nyadhifa zingenezi ndani ya ngazi ya ICANN kama ilivyopitishwa kwenye sheria ndogo za ICANN
+
'''PS (Packet Switching)''' 
Ni mbinu inayotumia itifaki za mtandao wa kompyuta kuwasilisha data kwenye mwishilio.
http://compnetworking.about.com/od/networkprotocols/f/packet-switch.htm
NPOC (Not for Profit organizational Concerns)
Ni mojawapo wa mashirika yanayojihusisha na shughuli za mashirikia yasiyo ya kifaida ndani ya ICANN.
Ilitambuliwa rasmi na bodi ya ICANN mnamo Juni 24 2011 wakati wa kongamano la ICANN la 41, Singapore.
NPOC inajihusisha haswa na sera zinazoathiri DNS. NPOC inalenga kuyapa mashirika yasiyokuwa ya kifaida sauti, na uwazi kwenye utoaji wa habari.
  −
NRO (Number Resource Organisation)
Inajumuisha mashirika matano ya kimaeneo (RIRs) kwenye juhudi zao za kushirikiana katika ugavi, na ulinzi wa rasilmali, pamoja na uundaji wa sera kwa pamoja.

  −
NSF (National Science Foundation)
Ni kitengo huru cha serikali kilichoundwa na bunge la Kongres mnamo 1950 ili kuendeleza sayansi; kufanikisha afya ya kitaifa, na usalama wa taifa.
http://www.nsf.gov/
  −
NSFNET (National Science Foundation Network)
Mradi wa kompyuta uliozinduliwa 1984, ili kuwezesha utendaji kazi wa hali ya juu wa watafiti kote nchini (Marekani).
http://www.nsf.gov/about/history/nsf0050/internet/launch.htm  
  −
NTIA (National Telecommunications and Information Administration)
Ni shirika na mshauri mkuu wa rais wa Marekani kwenye maswala yanayohusu sera za mawasiliano na habari. Ni mojawapo wa nguzo muhimu kwenye mkataba baina ya serikali ya Marekani na ICANN.
http://www.ntia.doc.gov/about
      +
== '''R''' ==
 +
'''R

RDS (Registry Directory Services)''' 
Ni hifadhi ya mtandaoni iliyopendekezwa kuchukua pahali pa WHOIS.
    +
'''RFC (Request for Comments)''' 
Inatumiwa kuashiria machapisho ya IETF. Machapisho haya yalizinduliwa mwaka wa 1969 na Steve Crocker, mwanabodi wa sasa wa ICANN, kunakili matukio ya ARPANET. Siku hizi yanatumiwa kunakili mapendekezo ya mwelekeo wa mtandao, na itifaki za mawasiliano.
    +
'''RIPE NCC (Réseaux IP Européens Network)''' Ni mojawapo wa mashirika matano ya kimaeneo (RIRs), linalosimamia ugavi wa rasilmali muhimu za mtandao (IP) eneo la bara ulaya.
 +
RIR (Regional Internet Registry)
Mashirika yasiyo ya kifaida ambayo yanasimamia na kuendesha shughuli za ugavi wa rasilmali za mtandao (IP). Kuna mashirika 5: AFRINIC, APNIC, ARIN, LACNIC, na RIPE NCC. Mashirika haya hufanya kazi kwenye miradi kwa pamoja.

    +
'''RSSAC (Root Server System Advisory Committee)'''
 +
RSSAC inawajibika na utoaji ushauri kwa jamii ya ICANN, na wanabodi kuhusu maswala yanayoguzia oparesheni, usimamizi, usalama,na hadhi ya mfumo wa Root Server (Root Server System), kama ilivyo kwenye mwongozo wa sheria ndogo za ICANN.

    +
'''RTC (Real Time Chat)'''
Ni uwezo wa kupokea jumbe kwenye mtandao kwa wakati mwafaka, pindi zinapotumwa.

    +
'''.RW (DOTRW)''' 
.rw ni ni jila la usajili la ngazi ya juu mtandaoni kwa nchi ya Rwanda
.rw ilianzishwa rasmi mnamo mwaka wa 1996.
    +
== '''S''' ==
 +
'''S

SSAC (Security and Stability Advisory Committee)''' 
Ni kamati inayoshauri jamii ya ICANN na wanabodi kuhusu maswala ya usalama na hadhi ya mfumo wa mtandao wa majina na anwani (naming and address allocation systems).
    +
'''SAIGF
Ni''' kongamano la utawala wa mtandao la eneo ya Afrika ya kusini linalofanyika kila mwaka kujadili maswala ibuka yenye umuhimu kwenye mtandao na matumizi yake mfano usalama, ujasusi n.k
    +

'''SEACOM
Ni''' kampuni inayoendesha mitandao ya nyaya za mawasiliano baharini na zile za nchi kavu za mkonga (fibre-optic) zenye mwendo kasi, zinazohudumia pwani za Afrika mashariki na Magharibi.
   −
O
+
'''SDGs (Sustainable Development Goals)''' 
Malengo yaliyokubaliwa na wanachama wa umoja wa mataifa (UN), yanayoguzia maswala mengi mengi ya maendeleo.
ODR (Online Dispute Resolution)
Njia mbadala ya kusuluhisha mizozo mtandaoni. Ni sawa na ADR; inatumia teknolojia kutatua malumbano baina ya washirika.
  −
OECD (Organisation of Economic Co-operation and Development)
Shirika lenye makao yake makuu Paris, Ufaransa ambalo linaafikia kutoa ukumbi ambao mataifa yanaweza kushirikiana kwa pamoja kutatua matatizo.
  −
OERs (Open Educational Resources)
Ni rasilimali zozote za masomo zilizopo mtandaoni zinazolenga matumizi kwa umma. Leseni ya rasilimali hizi ni huria kana kwamba yeyote anaweza kuzitumia kisheria kwa kuziiga, kuzinakili, na kuzisambaza bila pingamizi, mradi amezingatia vigeo vya leseni.

OGP (The Open Government Partnership)
OGP ni mradi wa wazi wa utawala, na wa ushirikiano unaolenga kutimiza uwajibikaji kutoka kwa serikali ili kuboresha uwazi, kuwezesha wananchi, kupigana na rushwa, na kuiga mbuni mpya za teknohama kwa ajili ya kuongeza thamani na nguvu kwenye utawala.

  −
OSI (Open Standards Interconnection)
Ni shirika la ubora wa bidhaa kwa vifaa vya mawasiliano duniani
  −
Open Technology Fund (OTF)
Ni shirika lisilo la kifaida lenye makao yake makuu Washignton D.C ambalo azma yake ni kusaidia miradi inayolenga uhuru wa mtandao ili kuwawezesha watu kupata huduma za uwazi mtandaoni bila pingamizi.
  −
OTT (Over-the-top)
Msamiati unaotumiwa kuashiria huduma zinazotolewa mtandaoni bila ya kushirikisha watoa huduma wa mtandao mfano Skype, Google, Facebook, Twitter)
  −
 
  −
 
  −
 
  −
 
  −
 
  −
P
  −
PC (Personal Computer)
Tarakilishi au kompyuta inayolengwa kwa matumizi ya kibinafsi.
  −
PDP (Policy Development Process)
Inaashiria hali ya uundaji sera zinazochangia mwelekeo wa utawala wa mtandao na matumizi yake
  −
PGP (Prety Good Privacy)
Programu maarufu inayotumiwa kusimba au kusimbua barua pepe mtandaoni.
  −
PKI (Public Key Infrastructure)
Mkusanyiko wa maunzi, program, watu, sera, na mbinu zinazohitajika kutengeneza, kusimamia, kusambaza, kutumia, kuhifadhi, na kutengua vyeti vya kidijitali.
http://en.wikipedia.org/wiki/Public-key_infrastructure
  −
PRISM
Programu ya kisiri inayotumiwa na idara ya usalama ya Marekani (NSA), kukusanya  mawasiliano yanayofanyika kwenye mtandao.
Mpango huu wa kisiri ulizinduliwa mnamo mwaka wa 2007 na serikali ya George W. Bush.

  −
PS (Packet Switching)
Ni mbinu inayotumia itifaki za mtandao wa kompyuta kuwasilisha data kwenye mwishilio.
http://compnetworking.about.com/od/networkprotocols/f/packet-switch.htm
  −
 
  −
 
  −
 
  −
 
  −
 
  −
 
  −
 
  −
 
  −
R

RDS (Registry Directory Services)
Ni hifadhi ya mtandaoni iliyopendekezwa kuchukua pahali pa WHOIS.
  −
RFC (Request for Comments)
Inatumiwa kuashiria machapisho ya IETF. Machapisho haya yalizinduliwa mwaka wa 1969 na Steve Crocker, mwanabodi wa sasa wa ICANN, kunakili matukio ya ARPANET. Siku hizi yanatumiwa kunakili mapendekezo ya mwelekeo wa mtandao, na itifaki za mawasiliano.
  −
RIPE NCC (Réseaux IP Européens Network)
  −
Ni mojawapo wa mashirika matano ya kimaeneo (RIRs), linalosimamia ugavi wa rasilmali muhimu za mtandao (IP) eneo la bara ulaya.
  −
RIR (Regional Internet Registry)
Mashirika yasiyo ya kifaida ambayo yanasimamia na kuendesha shughuli za ugavi wa rasilmali za mtandao (IP). Kuna mashirika 5: AFRINIC, APNIC, ARIN, LACNIC, na RIPE NCC. Mashirika haya hufanya kazi kwenye miradi kwa pamoja.

RSSAC (Root Server System Advisory Committee)
  −
RSSAC inawajibika na utoaji ushauri kwa jamii ya ICANN, na wanabodi kuhusu maswala yanayoguzia oparesheni, usimamizi, usalama,na hadhi ya mfumo wa Root Server (Root Server System), kama ilivyo kwenye mwongozo wa sheria ndogo za ICANN.

  −
RTC (Real Time Chat)
Ni uwezo wa kupokea jumbe kwenye mtandao kwa wakati mwafaka, pindi zinapotumwa.

  −
.RW (DOTRW)
.rw ni ni jila la usajili la ngazi ya juu mtandaoni kwa nchi ya Rwanda
.rw ilianzishwa rasmi mnamo mwaka wa 1996.
     −
 
+
'''SOPA (Stop Online Piracy Act)''' 
Mswada pendekezo unaowalenga tovuti zenye kukiuka haki miliki na kazi za wasanii

  −
S

SSAC (Security and Stability Advisory Committee)
Ni kamati inayoshauri jamii ya ICANN na wanabodi kuhusu maswala ya usalama na hadhi ya mfumo wa mtandao wa majina na anwani (naming and address allocation systems).
  −
SAIGF
Ni kongamano la utawala wa mtandao la eneo ya Afrika ya kusini linalofanyika kila mwaka kujadili maswala ibuka yenye umuhimu kwenye mtandao na matumizi yake mfano usalama, ujasusi n.k

SEACOM
Ni kampuni inayoendesha mitandao ya nyaya za mawasiliano baharini na zile za nchi kavu za mkonga (fibre-optic) zenye mwendo kasi, zinazohudumia pwani za Afrika mashariki na Magharibi.
  −
SDGs (Sustainable Development Goals)
Malengo yaliyokubaliwa na wanachama wa umoja wa mataifa (UN), yanayoguzia maswala mengi mengi ya maendeleo.
  −
SOPA (Stop Online Piracy Act)
Mswada pendekezo unaowalenga tovuti zenye kukiuka haki miliki na kazi za wasanii

Spam Linatokana na neno SPAM (Hormel Spiced Ham)
 
http://en.wikipedia.org/wiki/Spam_%28electronic%29    
Ni utumaji wa jumbe taka za kielektroniki kwa jumla, kwa ajili ya matangazo pasi na kubagua.
 
SRI (Stanford Research Institute)
+
'''SRI (Stanford Research Institute)'''
 
http://www.sri.com/about
 
http://www.sri.com/about
 
Shirika lisilokuwa la kifaida ambalo linajihusisha haswa na utafiti uliofadhiliwa na serikali, nyakfu, na mashirika mengine.
Kwa sasa linajulikana kama SRI International
 
SSL (Secure Sockets Layer) 
Safu ya usalama bora kwenye teknohama inayotumiwa kubainisha kiungo kilich salama kati ya sava mtandaoni (web server) na kivinjari (browser). 
Kiungo hiki kinahakikisha data zinazopitia kati ya sava na kivinjari zinabakia kuwa za siri.
SSL ni kiwango kinachotumiwa na mamilioni ya mitandao kulinda malipo ya mitandaoni kwa wateja wao.
http://www.digicert.com/ssl.htm
  −
  −
  −
  −
  −
  −
  −
  −
  −
  −
  −
  −
  −
  −
  −
  −
  −
  −
  −
      +
'''SSL (Secure Sockets Layer)''' 

== '''T''' ==
 +
'''T

TESPOK (Technology Service Providers of Kenya)''' 
TESPOK ni shirika la kitaalamu, lisilo la kifaida ambalo linawakilisha maslahi ya wanaotoa huduma za teknohama nchini Kenya. TESPOK lilianzishwa mnamo 1999, na nguvu za muungano huu zipo ndani ya uwezo wake wa  kuwakilisha sekta hii kwa jumla.
Ruwaza ya TESPOK ni “kuwa kiongozi wa ukuaji na ubora wa teknohama barani Afrika”.

   −
T

TESPOK (Technology Service Providers of Kenya)
TESPOK ni shirika la kitaalamu, lisilo la kifaida ambalo linawakilisha maslahi ya wanaotoa huduma za teknohama nchini Kenya. TESPOK lilianzishwa mnamo 1999, na nguvu za muungano huu zipo ndani ya uwezo wake wa  kuwakilisha sekta hii kwa jumla.
Ruwaza ya TESPOK ni “kuwa kiongozi wa ukuaji na ubora wa teknohama barani Afrika”.

TCP/IP (Transmission Control Protocol/Internet Protocol)
TCP/IP ni kitengo chenye umuhimu mkubwa sana kwenye mtandao. 
Viwango vya TCP/IP vinawekwa na shirika la IETF.
Kutokana na umuhimu wake, TCP/IP ni mojawapo wa kiwango kinachopewa umakinifu wa hali ya juu kwenye mtandao na shirika la IETF.  
+
'''TCP/IP (Transmission Control Protocol/Internet Protocol)''' 
TCP/IP ni kitengo chenye umuhimu mkubwa sana kwenye mtandao. 
Viwango vya TCP/IP vinawekwa na shirika la IETF.
Kutokana na umuhimu wake, TCP/IP ni mojawapo wa kiwango kinachopewa umakinifu wa hali ya juu kwenye mtandao na shirika la IETF.  
   −
TCRA (Tanzania Communications Regulatory Authority)  
+
'''TCRA (Tanzania Communications Regulatory Authority)'''
 
Ni asisi ya serikali inayodhibiti shughuli zote zinazohusiana na mawasiliano nchini Tanzania.
 
Asisi hii iliundwa mnamo 2003 ili kusimamia mawasiliano ya ki-elektroniki, huduma za Posta, na usimamizi wa wigo wa kitaifa wa urushaji mawimbi. Asisi hii ilianza majukumu yake rasmi mnamo tarehe 1 Novemba 2003, na kuchukua pahala pa iliyokuwa tume ya mawasiliano Tanzania(TTC) na tume ya Utangazaji (TBC)  
 
Makao makuu ya asisi hii ni jijini Dar es Salaam.
 
TLD (Top Level Domain)
Mfumo wa mtandao wa DNS unawawezesha watu kufikia kurasa na rasilmali zinginezo kwa kutumia majina ambayo ni rahisi kukumbuka mfano www.icann.org  badala ya kutumia anwani ya IP kama 192.0.34.65.
Kila jina (domain name) linaundwa na mkurupuko wa maneno madogo (yanaoitwa labels) ambayo yanatenganishwa na .(dot).
Neno lililopo kulia mwa jina linafahamika kama top-level dmain (TLD).
+
'''TLD (Top Level Domain)''' 

ToS (Terms of Service)
Makubaliano ya huduma, au sheria na vigezo ambavyo anayepania kutumia huduma fulani mtandaoni anahitaji kusoma, na kukubali kama sehemu ya mkataba wa makubaliano kabla ya kutumia huduma hiyo.

'''TRIPS (Trade Related Aspects of Intellectual Property Rights)'''
 +
http://www.wto.org/english/thewto_e/whatis_e/tif_e/agrm7_e.htm 
Ni sheria zinazohusiana na haki miliki zilizotokana na mkataba wa WTO.
   −
TRIPS (Trade Related Aspects of Intellectual Property Rights)
+
'''TTIP (Transatlantic Trade and Investment Partnership)''' 
Ni mkataba huria wa biashara na uwekezaji baina ya Marekani na umoja wa Ulaya (EU). Mkataba huu umeweza kufutiliwa mbali na rais Donald Trump pindi tu alipoingia madarakani.  
http://www.wto.org/english/thewto_e/whatis_e/tif_e/agrm7_e.htm 
Ni sheria zinazohusiana na haki miliki zilizotokana na mkataba wa WTO.
+
 
TTIP (Transatlantic Trade and Investment Partnership)
Ni mkataba huria wa biashara na uwekezaji baina ya Marekani na umoja wa Ulaya (EU). Mkataba huu umeweza kufutiliwa mbali na rais Donald Trump pindi tu alipoingia madarakani.
+
'''.TZ (DOTTz)''' 
Ni jina la ngazi ya juu mtandaoni kwa nchi ya Tanzania lililozinduliwa mnamo 1995.
Msajili wa .tz ni tzNIC, ilhali mfadhili mkuu wake ni chuo kikuu ya Dar es Salaam.  
.TZ (DOTTz)

TzNIC (Tanzania Network Information Center)
+
'''TzNIC (Tanzania Network Information Center)'''
 
Ni shirika Iisilo la kifaida lililobuniwa na tume ya mawasiliano ya Tanzania  (TCRA) ili kuendesha oparesheni na usajili wa jina la ngazi ya juu la nchi mtandaoni (.tz). TzNIC iliundwa mnamo 16 Novemba, 2006. Kufikia sasa, TzNIC ina sajili za .tz karibia 12,000. Hivi majuzi, tume ya TCRA ilitoa makataa kwa kampuni zote nchini Tanzania kusajili na .tz  
 
== '''U''' ==
 +
'''UCLA (University of California, Los Angeles)''' 
Chuo cha umma cha utafiti kilichoko Los Angeles, CA, Marakani.
http://www.ucla.edu/
   −
U
+
'''UCSB (University of California, Santa Barbara)''' 
Chuo cha umma Santa Barbara, CA, Marekani
UCLA (University of California, Los Angeles)
Chuo cha umma cha utafiti kilichoko Los Angeles, CA, Marakani.
http://www.ucla.edu/
  −
UCSB (University of California, Santa Barbara)
Chuo cha umma Santa Barbara, CA, Marekani
   
http://www.ucsb.edu  
 
http://www.ucsb.edu  
UDHR (Universal Declaration of Human Rights)
Mkataba wa haki msingi za kibinadamu wa umoja wa mataifa kama ulivyopitishwa na baraza kuu la umoja huo, UNGA, mwaka wa 1948.
http://www.un.org/en/documents/udhr/
  −
UDRP (Uniform Domain-Name Dispute-Resolution Policy)
Sera ambapo utata wa nembo za biashara (trade marks) zinazohusiana na mtandao wafaa kutatuliwa kwa makubaliano, uamuzi wa mahakama, wahusika kabla ya msajili (registrar) kufutilia mbali, kuhamisha kinachozozaniwa.
http://www.icann.org/en/help/dndr/udrp 

.UG (DOTUG)
Ni usajili wa ngazi ya juu mtandaoni wan chi ya Uganda.
.ug ilianzishwa mnamo mwaka wa 1995.

UN (United Nations)
Shirika la umoja wa mataifa lenye wanachama 193, lililobuniwa mnamo 1945 kuchukua pahala pa ligi ya mataifa (League of Nations).
http://www.un.org/en/ 

UNCITRAL (United Nations Commission on International Trade Law)
Kitengo kikuu cha cha Umoja wa Mataifa (UN) kwenye uga wa kimataifa wa sheria za kibiashara
http://www.uncitral.org/

UNDESA (United Nations Department of Economic and Social Affairs)
Ni sehemu ya ukatibu wa Umoja wa Mataifa (UN Secretariat) ambayo inawajibika kufuatilia makongamano au mikutano mikuu ya Umoja wa Mataifa. UNDESA inasaidia mataifa kuweka ajenda na maamuzi kwa malengo ya kusaidia kutimiza changamoto za kiuchumi, kijamii na mazingira.
 UNDESA iliundwa mnamo 1948, na makao yake makuu ni jijini New York, Marekani. Kiongizi wa sasa wa UNDESA ni Wu Hongbo.
http://www.un.org/development/desa/en 

  −
UNESCO (United Nations Educational Scientific and Cultural Organization)
Kitengo maalum cha Umoja wa Mataifa (UN) chenye program tano kuu: elimu, sayansi ya mazingira, sayansi ya jamii, utamaduni, mawasiliani na habari.
https://en.unesco.org/ 

UNGA (United Nations General Assembly)
Baraza kuu la umoja wa mataifa.

UNICEF (United Nations Children’s Education Fund)
  −
http://www.unicef.org/ 
Ni program ya Umoja wa Mataifa (UN) inayotoa huduma za kibinadamu na misaada kwa watoto. UNICEF ni mshika dau mkuu kwenye ulindaji wa watoto mtandaoni (COP).
  −
UNIX
Ni aina ya uendeshaji mfumo (OS) unaotumia miito ya mstari amri (command line).
  −
  −
V
  −
VoIP (Voice over Internet Protocol)
Njia ya nafuu ya maongezi ya sauti kupitia mtandao.
  −
  −
  −
  −
  −
  −
  −
  −
  −
  −
  −
  −
  −
  −
  −
  −
  −
  −
  −
W
  −
WAIGF (West Africa Internet Governance Forum)
Ni kongamano la utawala wa mtandao la eneo ya Afrika ya magharibi linalofanyika kila mwaka kujadili maswala ibuka yenye umuhimu kwenye mtandao na matumizi yake mfano usalama, ujasusi n.k
  −
W3C(World Wide Web Consortium)
Jamii ya kimataifa yenye wanachama na wafanyakazi wanaohuduma kuunda sera zenye kulenga ubora kwenye mtandao.Jamii hii inaongozwa na mvumbuzi wa WWW Tim Berners-lee na mkurugenzi mkuu Jeffrey Jaffe.
Ruwaza ya Wc3 ni kuongoza mtandao kwa uwezo wake kamili.

  −
WCIT (World Conference on International Telecommunications)
  −
http://www.itu.int/en/wcit-12/Pages/default.aspx 

WGIG (Working Group on Internet Governance)
Tume iliyobuniwa na katibu mkuu wa umoja wa mataifa kufanya utafiti na kutoa mapendekezo ya hatua kuhusu utawala wa mtandao (Internet Governance).

WHOIS 
Hifadhi iliyo wazi kwa umma inayoonyesha taarifa za mashirika, na vile vile watu binafsi. Taarifa za hifadhi hii zinahusiana na usajili wa rasilimali za mtandao kama vile nambari za kipekee (IP), na majina (Domain Names)

WIPO (World Intellectual Property Organisation)
Kitengo cha umoja wa mataifa (UN) ambacho kinahusika haswa na maswala ya haki miliki kama njia moja ya kukuza ubunifu. WIPO iliundwa 1967 “kuwezesha ubunifu, na kuendeleza ulindwaji wa haki miliki kote duniani.
  −
WIPO ina mataifa wanachama 188, nainasimamia mikataba 26 ya kimataifa. Makao yake makuu ni Genevea, Uswisi.
Mkurugenzi mkuu wa sasa wa WIPO ni Francis Gurry, ambaye alitwaa uongozi Octoba1, 2008. Mataifa yasiyo wanachama wa WIPO ni visiwa vya Marshall, Mkusanyiko wa visiwa vya Micronesia, Nauru, Palau, Visiwa vya Solomon, Sudan Kusini, Timor-Mashariki, Palestina na yana hadhi ya utazamaji tu

WITSA (World Information Technology And Services Alliance)
Ni muungano ulioanzishwa kwa ajili ya kuwaunganisha wanachama waliopo kwenye sekta ya teknohama katika mataifa mbali mbali.

WSIS (World Summit on Information Society)
Kongamano lililofanyika kwa awamu mbili. Awamu ya kwanza ilifanyika Geneva, Uswisi tarehe 10 hadi 12 Disemba 2003; awamu ya pili ilifanyika Tunis, Tunisia kutoka tarehe 16 hadi 18 Novemba 2005.
  −
WSIS+10
WSIS ilisherehekea miaka 10 tangu kongamano la Tunis (2005). Kwenye kongamano la Tunis, kulikuwepo na maelewano kuwa utawala wa mtandao (IG) udhihirishe uhalisia wa washika dau wote (multi-stakeholders).
Kuendelea ushirikiano ilikuwa mbinu ya aina yake iliyolenga uundaji wa mstakabali mpya wa wahishika dau wote (multi-stakeholders) katika utawala.
Miaka 10 tangu matukio ya WSIS, washika dau husika (RIRs, mataifa, mashirika ya kijamii, wanasheria walijihusisha kwenye kuchunguza matokeo yake ndani ya muongo huo. Matokeo haya yaliwakilishwa kwenye kongamano la umoja wa mataifa (UNGA), jijini New York , Disemba 2015.

WTO (World Trade Organisation)
Shirika la kimataifa linaloendeshwa na mataifa wanachama, ambalo linalenga kupanua hali ya biashara kwa manufaa ya wote.
WTO ilianzishwa Januari 1 1995 chini ya mktaba wa Marrakesh. Ilitiwa sahihi na mataifa 123 Aprili 15 1994, na kuchukua mahala pa General Agreement on Tariffs and Trade (GATT), ambayo ilianzishwa  1948. WTO inatoa mwongozo wa mikataba baina ya mataifa husika, na vile vile kusaidia kutatua mizozo

WWW (World Wide Web)
Ni mfumo ambao umeunganishwa kwa njia ya msimbo (HTML) ambao unatuwezesha kufikia kurasa za wavuti kwenye mtandao.
  −
  −
  −
  −
  −
  −
  −
  −
X
  −
XML (eXtensible Mark-up Language)
Msimbo ulioigwa kutoka SGML (ISO 8879).
  −
  −
  −
  −
  −
  −
  −
  −
  −
  −
  −
  −
  −
  −
  −
  −
  −
  −
  −
  −
  −
  −
YCIG (The Youth Coalition on Internet Governance)
YCIG ni uga ulio wazi kwa chipukizi na vijana wote waliopo chini ya miaka 30 ambao wanavutiwa na maswala ibuka ya utawala wa mtandao.
      +
'''UDHR (Universal Declaration of Human Rights)''' 
Mkataba wa haki msingi za kibinadamu wa umoja wa mataifa kama ulivyopitishwa na baraza kuu la umoja huo, UNGA, mwaka wa 1948.
http://www.un.org/en/documents/udhr/
    +
'''UDRP (Uniform Domain-Name Dispute-Resolution Policy)''' 
Sera ambapo utata wa nembo za biashara (trade marks) zinazohusiana na mtandao wafaa kutatuliwa kwa makubaliano, uamuzi wa mahakama, wahusika kabla ya msajili (registrar) kufutilia mbali, kuhamisha kinachozozaniwa.
http://www.icann.org/en/help/dndr/udrp
    +

'''.UG (DOTUG)''' 
Ni usajili wa ngazi ya juu mtandaoni wan chi ya Uganda.
.ug ilianzishwa mnamo mwaka wa 1995.

UN (United Nations)
Shirika la umoja wa mataifa lenye wanachama 193, lililobuniwa mnamo 1945 kuchukua pahala pa ligi ya mataifa (League of Nations).
http://www.un.org/en/ 

    +
'''UNCITRAL (United Nations Commission on International Trade Law)''' 
Kitengo kikuu cha cha Umoja wa Mataifa (UN) kwenye uga wa kimataifa wa sheria za kibiashara
    +
'''UNDESA (United Nations Department of Economic and Social Affairs)''' 
Ni sehemu ya ukatibu wa Umoja wa Mataifa (UN Secretariat) ambayo inawajibika kufuatilia makongamano au mikutano mikuu ya Umoja wa Mataifa.  inasaidia mataifa kuweka ajenda na maamuzi kwa malengo ya kusaidia kutimiza changamoto za kiuchumi, kijamii na mazingira.
 UNDESA iliundwa mnamo 1948, na makao yake makuu ni jijini New York, Marekani. Kiongizi wa sasa wa UNDESA ni Wu Hongbo.
http://www.un.org/development/desa/en 

[http://www.uncitral.org/ http://www.uncitral.org/

UNDESA]
    +
'''UNESCO (United Nations Educational Scientific and Cultural Organization)''' 
Kitengo maalum cha Umoja wa Mataifa (UN) chenye program tano kuu: elimu, sayansi ya mazingira, sayansi ya jamii, utamaduni, mawasiliani na habari.
https://en.unesco.org/ 

    +
'''UNGA (United Nations General Assembly)''' 
Baraza kuu la umoja wa mataifa.

    +
'''UNICEF (United Nations Children’s Education Fund)'''
 +
http://www.unicef.org/ 
Ni program ya Umoja wa Mataifa (UN) inayotoa huduma za kibinadamu na misaada kwa watoto. UNICEF ni mshika dau mkuu kwenye ulindaji wa watoto mtandaoni (COP).
    +
'''UNIX
Ni''' aina ya uendeshaji mfumo (OS) unaotumia miito ya mstari amri (command line).
    +
== '''V''' ==
 +
'''VoIP (Voice over Internet Protocol)''' 
Njia ya nafuu ya maongezi ya sauti kupitia mtandao.
    +
== '''W''' ==
 +
'''WAIGF (West Africa Internet Governance Forum)''' 
Ni kongamano la utawala wa mtandao la eneo ya Afrika ya magharibi linalofanyika kila mwaka kujadili maswala ibuka yenye umuhimu kwenye mtandao na matumizi yake mfano usalama, ujasusi n.k
    +
'''W3C (World Wide Web Consortium)''' 
Jamii ya kimataifa yenye wanachama na wafanyakazi wanaohuduma kuunda sera zenye kulenga ubora kwenye mtandao.Jamii hii inaongozwa na mvumbuzi wa WWW Tim Berners-lee na mkurugenzi mkuu Jeffrey Jaffe.
Ruwaza ya Wc3 ni kuongoza mtandao kwa uwezo wake kamili.

    +
'''WCIT (World Conference on International Telecommunications)'''
 +
http://www.itu.int/en/wcit-12/Pages/default.aspx 

    +
'''WGIG (Working Group on Internet Governance)''' 
Tume iliyobuniwa na katibu mkuu wa umoja wa mataifa kufanya utafiti na kutoa mapendekezo ya hatua kuhusu utawala wa mtandao (Internet Governance).

    +
'''WHOIS''' 
Hifadhi iliyo wazi kwa umma inayoonyesha taarifa za mashirika, na vile vile watu binafsi. Taarifa za hifadhi hii zinahusiana na usajili wa rasilimali za mtandao kama vile nambari za kipekee (IP), na majina (Domain Names)

    +
'''WIPO (World Intellectual Property Organisation)''' 
Kitengo cha umoja wa mataifa (UN) ambacho kinahusika haswa na maswala ya haki miliki kama njia moja ya kukuza ubunifu. WIPO iliundwa 1967 “kuwezesha ubunifu, na kuendeleza ulindwaji wa haki miliki kote duniani.
 +
WIPO ina mataifa wanachama 188, nainasimamia mikataba 26 ya kimataifa. Makao yake makuu ni Genevea, Uswisi.
Mkurugenzi mkuu wa sasa wa WIPO ni Francis Gurry, ambaye alitwaa uongozi Octoba1, 2008. Mataifa yasiyo wanachama wa WIPO ni visiwa vya Marshall, Mkusanyiko wa visiwa vya Micronesia, Nauru, Palau, Visiwa vya Solomon, Sudan Kusini, Timor-Mashariki, Palestina na yana hadhi ya utazamaji tu
    +

'''WITSA (World Information Technology And Services Alliance)''' 
Ni muungano ulioanzishwa kwa ajili ya kuwaunganisha wanachama waliopo kwenye sekta ya teknohama katika mataifa mbali mbali.

WSIS (World Summit on Information Society)
Kongamano lililofanyika kwa awamu mbili. Awamu ya kwanza ilifanyika Geneva, Uswisi tarehe 10 hadi 12 Disemba 2003; awamu ya pili ilifanyika Tunis, Tunisia kutoka tarehe 16 hadi 18 Novemba 2005.
    +
'''WSIS+10
WSIS''' ilisherehekea miaka 10 tangu kongamano la Tunis (2005). Kwenye kongamano la Tunis, kulikuwepo na maelewano kuwa utawala wa mtandao (IG) udhihirishe uhalisia wa washika dau wote (multi-stakeholders).
Kuendelea ushirikiano ilikuwa mbinu ya aina yake iliyolenga uundaji wa mstakabali mpya wa wahishika dau wote (multi-stakeholders) katika utawala.
Miaka 10 tangu matukio ya WSIS, washika dau husika (RIRs, mataifa, mashirika ya kijamii, wanasheria walijihusisha kwenye kuchunguza matokeo yake ndani ya muongo huo. Matokeo haya yaliwakilishwa kwenye kongamano la umoja wa mataifa (UNGA), jijini New York , Disemba 2015.

    +
'''WTO (World Trade Organisation)''' 
Shirika la kimataifa linaloendeshwa na mataifa wanachama, ambalo linalenga kupanua hali ya biashara kwa manufaa ya wote.
WTO ilianzishwa Januari 1 1995 chini ya mktaba wa Marrakesh. Ilitiwa sahihi na mataifa 123 Aprili 15 1994, na kuchukua mahala pa General Agreement on Tariffs and Trade (GATT), ambayo ilianzishwa  1948. WTO inatoa mwongozo wa mikataba baina ya mataifa husika, na vile vile kusaidia kutatua mizozo

WWW (World Wide Web)
Ni mfumo ambao umeunganishwa kwa njia ya msimbo (HTML) ambao unatuwezesha kufikia kurasa za wavuti kwenye mtandao.
    +
== '''X''' ==
 +
'''XML (eXtensible Mark-up Language)''' 
Msimbo ulioigwa kutoka SGML (ISO 8879).
    +
== '''Y''' ==
 +
'''YCIG (The Youth Coalition on Internet Governance)''' 
YCIG ni uga ulio wazi kwa chipukizi na vijana wote waliopo chini ya miaka 30 ambao wanavutiwa na maswala ibuka ya utawala wa mtandao.
   −
Z
+
== '''Z''' ==
ZACR (ZA Central Registry) 
Shirika lisilo la kifaida lililozinduliwa 1988 kusimamia usajili wa jina la ngazi ya juu mtandaoni (ccTLD) nchini Africa kusini. Hapo awali, ZACR ilijulikana kama UniForum SA. Kufikia 2016, ZACR inajivunia wasajili zaidi ya milioni 1 wa .za
+
'''ZACR (ZA Central Registry)''' 
Shirika lisilo la kifaida lililozinduliwa 1988 kusimamia usajili wa jina la ngazi ya juu mtandaoni (ccTLD) nchini Africa kusini. Hapo awali, ZACR ilijulikana kama UniForum SA. Kufikia 2016, ZACR inajivunia wasajili zaidi ya milioni 1 wa .za
Bureaucrats, Interface administrators, lookupuser, staff, Administrators, translator
11,770

edits