Changes

Jump to navigation Jump to search
Line 74: Line 74:  
'''(DDoS) Distributed Denial Services'''
 Mpangilio wa mashambulizi unaolenga kuzima mtandao kwa kufutilia mbali huduma muhimu za mtandao.

Diplo (DiploFoundation)
Ni shirika lisilo la kifaida lenye makao yake nchini Malta, na afisi zake jijini Geneva (Uswisi), na Belgrade (Serbia).
Diplo inalenga kuboresha ushirikiano wa washika dau kwenye Nyanja ya diplomasia, uhusiano wa kimataifa, sekta ya sera kama vile utawala wa mtandao, na ubadilikaji wa hela ya hewa.
http://www.diplomacy.edu  
 
   −
'''DNS''' (Domain Name System)''' 
Mfumo unaoendeshwa na ICANN, unaokubali majina kuongezewa anwani za itifiki mtandaoni (IP).

DNSAFRICA Magazine
Ni jarida linalochapishwa na kampuni ya DNS Africa Communications.
Nakala za jarida hili huguzia mijadala inayohusu ICANN na mfumo wa majina (DNS), barani Afrika na ulimwenguni.
+
'''DNS''' (Domain Name System)''' 
'''Mfumo unaoendeshwa na ICANN, unaokubali majina kuongezewa anwani za itifiki mtandaoni (IP).

DNSAFRICA Magazine
Ni jarida linalochapishwa na kampuni ya DNS Africa Communications.
Nakala za jarida hili huguzia mijadala inayohusu ICANN na mfumo wa majina (DNS), barani Afrika na ulimwenguni.
    
'''DNSSEC (Domain Name System Security)'''
Teknolojia ya kiusalama kwenye DNS.
http://www.icann.org/en/about/learning/factsheets/dnssec-qaa-09oct08-en.htm  
 
'''DNSSEC (Domain Name System Security)'''
Teknolojia ya kiusalama kwenye DNS.
http://www.icann.org/en/about/learning/factsheets/dnssec-qaa-09oct08-en.htm  
Line 85: Line 85:     
=='''E'''==
 
=='''E'''==
EAIGF (East Africa IGF)
Ni kongamano la utawala wa mtandao la eneo ya Afrika mashariki linalofanyika kila mwaka kujadili maswala ibuka yenye umuhimu kwenye mtandao na matumizi yake mfano usalama, ujasusi n.k
+
'''EAIGF (East Africa IGF)''' 
Ni kongamano la utawala wa mtandao la eneo ya Afrika mashariki linalofanyika kila mwaka kujadili maswala ibuka yenye umuhimu kwenye mtandao na matumizi yake mfano usalama, ujasusi n.k
EC (European Commission)
Tume inayowakilisha bara ulaya. Tume hii inajumuisha wahudumu 28 wanaopendekeza na kuhakikisha sheria zinafuatwa na wanachama.
http://ec.europa.eu/ 

E-government  (Electronic government)
Inaashiria matumizi ya vifaa vya habari, mawasiliano, na teknohama kuboresha shughuli za utoaji huduma kwa mashirika ya umma. 
  −

E-learning (Electronic learning)
Masomo yanaoendeshwa ki-elektroniki kupitia mtandao.
  −
EuroDIG (European Dialogue on Internet Governance)
Kongamano la bara ulaya linalojadili maswala ya utawala wa mtandao. EURODIG ilianzishwa 2008 na mashirika tofauti, wawakilishi wa serikali na magwiji ili kuendeleza mjadala na ushirikiano na jamii ya mtandao kuhusu sera za umma kwa ajili ya mtandao. EURODIG huandaliwa kila mwaka kwenye mji mkuu tofauti
  −
EuroDIG inafadhiliwa na vikundi vya wafadhili wa mashirika husika, mfano kamati ya Ulaya (Council of Europe –CoE), Umoja wa Ulaya (EU), European Regional At-Large Organization (EURALO), the European Broadcasting Union (EBU),  ICANN, ISOC, the Federal Office of Communications of Switzerland (OFCOM) and the Ré- seaux IP Européens Network Coordination Centre (RIPE NCC). 

http://www.eurodig.org/
  −
Europol (European Police)
Kitengo cha usalama kinachisaidia mataifa wanachama wa EU kupigana na uhalifu na ugaidi.
https://www.europol.eu/
  −
EUROSSIG (The European Summer School on Internet Governance)
  −
Ni shule inayolenga kuwahudumia waandaaji na wazungumzaji wa makongamano ya utawala wa mtandao kimataifa, kimaeneo, na kitaifa kwenye eneo la bara ulaya kupitia kozi za hali ya juu zinazoshughulikia mijadala ya utawala wa mtandao. Tofauti na APSIG na AFRISIG, EUROSSIG inalenga washiriki kutoka mataifa mbali mbali kutoka kote ulimwenguni, huku mataifa yanaoendelea yakipewa kipa umbele.
Masomo ya EUROSIG yanadumu juma nzima na yanafanyika kila mwaka (Julai) jumla ya masaa 48. Kozi hizi zinaguzia mijadala ya utawala wa mtandao kama vile siasa, sheria, uchumi, tamaduni za jamii, ufundi wa teknohama.
      +
'''EC (European Commission)''' 
Tume inayowakilisha bara ulaya. Tume hii inajumuisha wahudumu 28 wanaopendekeza na kuhakikisha sheria zinafuatwa na wanachama.
http://ec.europa.eu/ 

E-government  (Electronic government)
Inaashiria matumizi ya vifaa vya habari, mawasiliano, na teknohama kuboresha shughuli za utoaji huduma kwa mashirika ya umma. 
    +
'''E-learning (Electronic learning)''' 
Masomo yanaoendeshwa ki-elektroniki kupitia mtandao.
    +
'''EuroDIG (European Dialogue on Internet Governance)''' 
Kongamano la bara ulaya linalojadili maswala ya utawala wa mtandao. EURODIG ilianzishwa 2008 na mashirika tofauti, wawakilishi wa serikali na magwiji ili kuendeleza mjadala na ushirikiano na jamii ya mtandao kuhusu sera za umma kwa ajili ya mtandao. EURODIG huandaliwa kila mwaka kwenye mji mkuu tofauti EuroDIG inafadhiliwa na vikundi vya wafadhili wa mashirika husika, mfano kamati ya Ulaya (Council of Europe –CoE), Umoja wa Ulaya (EU), European Regional At-Large Organization (EURALO), the European Broadcasting Union (EBU),  ICANN, ISOC, the Federal Office of Communications of Switzerland (OFCOM) and the Ré- seaux IP Européens Network Coordination Centre (RIPE NCC). 

http://www.eurodig.org/
    +
'''Europol (European Police)''' 
Kitengo cha usalama kinachisaidia mataifa wanachama wa EU kupigana na uhalifu na ugaidi.
https://www.europol.eu/
    +
'''EUROSSIG (The European Summer School on Internet Governance)''' Ni shule inayolenga kuwahudumia waandaaji na wazungumzaji wa makongamano ya utawala wa mtandao kimataifa, kimaeneo, na kitaifa kwenye eneo la bara ulaya kupitia kozi za hali ya juu zinazoshughulikia mijadala ya utawala wa mtandao. Tofauti na APSIG na AFRISIG, EUROSSIG inalenga washiriki kutoka mataifa mbali mbali kutoka kote ulimwenguni, huku mataifa yanaoendelea yakipewa kipa umbele.
Masomo ya EUROSIG yanadumu juma nzima na yanafanyika kila mwaka (Julai) jumla ya masaa 48. Kozi hizi zinaguzia mijadala ya utawala wa mtandao kama vile siasa, sheria, uchumi, tamaduni za jamii, ufundi wa teknohama.
    +
== '''F''' ==
 +
'''FBI (Federal Bureau of Investigation)''' 
FBI ni idara ya ndani ya ujasusi na usalama ya Marekani ambayo inahudumu kama shurika la kudumisha sheria. Inahudumu kwa uelekezi wa idara ya haki.
    +
'''FCC (The Federal Communications Commission)''' 
Ni idara huru ya Marekani iliyoundwa na kitengo cha sheria cha bunge la kongres, kudhibiti mawasiliano ya redio, runinga, waya, satelaiti baina ya majimbo, kwenye majimbo yote 50 ya Marekani, wilaya ya Columbia, na maeneo yaliyo chini ya himaya ya Marekani.
 Majukumu ya FCC yanalenga malengo sita yafuatayo: broadband, ushindani, masafa, habari, usalama wa umma, na usalama wa ndani wan chi.
 FCC ilibuniwa na kipengele cha mawasiliano cha mwaka wa 1934, ili kuchukua mahala pa kamati ya taifa ya Redio
    +
'''FIRE (The Fund for Internet Research and Development)''' 
Ni mradi wa AFRINIC wa ufadhili unalolenga kusaidia na kukuza ubunifu wenye kutoa suluhu kwa mahitaji ya Afrika, haswa kwenye sekta ya teknohama.
www.fireafrica.org
   −
 
+
'''FOSSFA (Free Software and Open Source Foundation for Africa)''' 
Ni shirika lisilokuwa la kifaida ambalo lilizinduliwa 2002 na malengo ya kuwaunganisha watu binafsi na mashirika yanayojihusisha na teknohama huria {open source} katika kiwango cha eneo, jimbo na hata nchi. 
Azma ya FOSSFA ni kudumisha utumiaji na utengenezaji wa teknohama huria zinazotoa suluhu na manufaa kwa bara la Afrika. Makao makuu ya FOSSFA yapo mjini Accra, Ghana. www.fossfa.net
 
  −
 
  −
 
  −
 
  −
 
  −
 
  −
 
  −
F

FBI (Federal Bureau of Investigation)
FBI ni idara ya ndani ya ujasusi na usalama ya Marekani ambayo inahudumu kama shurika la kudumisha sheria. Inahudumu kwa uelekezi wa idara ya haki.
  −
FCC (The Federal Communications Commission)
Ni idara huru ya Marekani iliyoundwa na kitengo cha sheria cha bunge la kongres, kudhibiti mawasiliano ya redio, runinga, waya, satelaiti baina ya majimbo, kwenye majimbo yote 50 ya Marekani, wilaya ya Columbia, na maeneo yaliyo chini ya himaya ya Marekani.
 Majukumu ya FCC yanalenga malengo sita yafuatayo: broadband, ushindani, masafa, habari, usalama wa umma, na usalama wa ndani wan chi.
FCC ilibuniwa na kipengele cha mawasiliano cha mwaka wa 1934, ili kuchukua mahala pa kamati ya taifa ya Redio (FRC)
  −
FIRE (The Fund for Internet Research and Development).
Ni mradi wa AFRINIC wa ufadhili unalolenga kusaidia na kukuza ubunifu wenye kutoa suluhu kwa mahitaji ya Afrika, haswa kwenye sekta ya teknohama.
www.fireafrica.org
  −

FOSSFA (Free Software and Open Source Foundation for Africa) 
Ni shirika lisilokuwa la kifaida ambalo lilizinduliwa 2002 na malengo ya kuwaunganisha watu binafsi na mashirika yanayojihusisha na teknohama huria {open source} katika kiwango cha eneo, jimbo na hata nchi. 
Azma ya FOSSFA ni kudumisha utumiaji na utengenezaji wa teknohama huria zinazotoa suluhu na manufaa kwa bara la Afrika. Makao makuu ya FOSSFA yapo mjini Accra, Ghana.
  −
www.fossfa.net  
       
Navigation menu