Changes

Line 118: Line 118:  
'''GSMA (Groupe Speciale Mobile Association)''' 
GSMA inawakilisha matakwa ya mashirika yanayotoa huduma za simu duniani kote.
 
   −
'''gTLD (generic Top Level Domain)''' 
Majina yaliyofadhiliwa au yasiyofadhiliwa yenye ngazi ya juu kwenye mtandao. Majina ya kwanza 7 yaliyozinduliwa mwaka wa 1980 yalikuwa: .com, .edu, .gov, .mil, .net, .org
http://www.icann.org/en/about/learning/glossary  
+

== '''H''' ==
 +
'''HTML (Hypertextt Mark-up Language)''' 
Msimbo au lugha inayotumika sana ketendeneza kurasa za wavuti, na kuandaa taarifa kwa ajili ya maonyesho kwenye wavuti.
http://en.wikipedia.org/wiki/HTML
    +
== '''I''' ==
 +
'''IANA (Internet Assigned Names and Authority)'''
 Ni tawi dogo la ICANN linalosambaza rasilmali muhimu za mtandao (IP). IANA inawajibika kugawa rasilmali za IP kwa mashirika matano ya mtandao kimaeneo (RIRs)
http://www.ntia.doc.gov/page/iana-functions-purchase-order
    +
'''ICANN (Internet Corporation for Assigned Names and Numbers)''' 
Shirika lisilo la kifaida lenye makao yake makuu jiji la Los Angeles, California, Marekani.
ICANN inamudu rasilmali za mtandao kwa manufaa ya umma. ICANN inajulikana kwa wadhifa wake kama mwendeshaji wa kiufundi wa mfumo wa majina mtandaoni (Domain Name System).
http://www.icann.org/
    +
I'''CANN Fellow''' 
Mtu yeyote anayechaguliwa kwenye program ya ICANN Fellowship.

 ICANN Fellowship 
Ni ratiba ya ICANN inayofanyika kwenye kila kongamano la ICANN kwa malengo ya kuwawezesha vijana kutoka maeneo mbali mbali ulimwenguni kuwa viongozi wa siku za usoni kwenye nyanja ya utawala wa mtandao.
http://www.icann.org/resources/pages/fellowship-2012-02-25-en
    +
'''ICANNLearn''' 
Ni uga huria na wa wazi unaowezesha jamii ya mtandao duniani kufanya kozi zinazohusiana na mijadala ya ICANN na utawala wa mtandao
http://learn.icann.org/
    +
'''ICANNWiki''' 
Ni jamii nambari moja yenye rasilmali ya maelezo – watu, vikundi, na mijadala yenye kuvutia ya ICANN na utawala wa mtandao (IG).
http://icannwiki.com
    +

'''ICC (International Chamber of Commerce)''' 
Shirika la kushughulikia maswala ya biashara duniani lenye makao yake Paris, Ufaransa.
http://www.iccwbo.org/ 

   −
H
+
'''ICG (IANA Stewardship Transition Coordination Group)''' 
Kundi la kujadili na kuafikia mijadala inayohusu NTIA/ICANN/ na kipindi cha mpwito cha IANA (IANA Transition).
HTML (Hypertextt Mark-up Language)
Msimbo au lugha inayotumika sana ketendeneza kurasa za wavuti, na kuandaa taarifa kwa ajili ya maonyesho kwenye wavuti.
http://en.wikipedia.org/wiki/HTML
      +
'''ICT (Information and Communication Technology)''' 
Neno linaloelezea matumizi yote ya teknohama. Mbinu na matumizi yake ni muhimu kwa maendeleo ya kiuchumi, kulingana na mtazamo wa ITU.
http://en.wikipedia.org/wiki/Information_and_communications_technology 

    +
'''ICTA (ICT Authority)''' 
Ni tume ya serikali ya Kenya iliyoundwa chini ya idara ya habari, mawasiliano na teknohama ili kusimamia shughuli zinazoambatana na sekta hii.
    +
'''IDN (Internationalised Domain Name)''' 
Majina ya mtandaoni yanayoruhusu nukta zisizo kwenye alfabeti ya kilatini mfano kiarabu, kirusi, kichina.
http://en.wikipedia.org/wiki/Internationalized_domain_name
    +
'''IEEE (Institute of Electrical and Electronics Engineers)''' 
Shirikisho linaloazimia kuendeleza teknohama na ubunifu.
http://www.ieee.org/about/ieee_history.html
    +
'''IETF (Internet Engineering Task Force)''' 
Shirika la kiufundi la mtandao lenye uhusiano na ISOC.
http://www.ietf.org/
    +
'''IG (Internet Governance)''' 
Utawala wa mtandao, unaozingatia mtazamo wa sheria, jamii, lugha, na uchumi mtandaoni.
http://www.diplomacy.edu/IGBook
    +
'''IG4D (Internet Governance for Development)''' 
Hali ya utumizi wa utawala wa mtandao  (IG) kwa ajili ya maendeleo
    +
'''IGC (Internet Governance Caucus)''' http://igcaucus.org Shirika la kijamii  linaloendeleza mijadala mtandaoni ili kutatua maswala yanayohusiana na utawala wa mtandao kama vile haki za kibinadamu, utata wa tamaduni, jamii na maendeleo.
A civil society online discussion group to address Internet governance as it affects human rights, social equity
 +
and interdependence, cultural concerns, and social and economic development.
    +
'''IGF (Internet Governance Forum)''' 
Ni kongamano la washika dau linalojadili maswala yanayohusu sera zenye umuhimu kwa mtandao kama inavyobainiwa kwenye mlango wa 72 wa ajenda ya WSIS (Tunis).
 +
Mojawapo wa matokeo ya kongamano la WSIS ilikuwa ni kuanzisha kongamano la kimataifa la utawala wa mtandao (IGF), ili kuwezesha washika dau kuchangia kwenye mazingira ambayo yataratibu uundaji wa sera za umma. 
Kongamano la kwanza la IGF liliandaliwa Athens, Ugiriki (2006), kongamano la pili (Rio de Janeiro, Brazil-2007), kongamano la tatu (Hyderabad, India-2008), kongamano la nne (Sharm el Sheikh, Misri-2009), Kongamano la tano (Vilnius,Lithuania-2010), sita (Nairobi, Kenya-2011), saba (Baku, Azerbaija-2012), nane (Bali, Indonesia -2013), tisa (Istanbul, Uturuki -2014), kumi (Joao Pessoa, Brazil -2015).
Mwaka huu kongamalo la kumi na moja litaandaliwa mji wa Guadalajara, nchini Mexico (Disemba).
 http:// www.intgovforum.org
    +
'''IGMENA (Internet Governance for Middle East and North Africa)''' 
Ni kongamano la utawala wa mtandao linalowaunganisha wadau kutoka mashariki ya kati, na kaskazini mwa Afrika kujadili maswala ibuka yanayozungukia utawala wa mtandao (IG)
    +

'''IGO (Inter-governmental Organisation)''' 
Shirika lililoundwa kutokana na mkataba baina ya mataifa mawili au zaidi, ili kushirikiana kwenye azma na malenga ya pamoja, haswa amani na usalama.

iHub (Innovation Hub)
iHub ni kitovu cha ubunifu kilichopo jijini Nairobi kwa ajili ya jamii ya teknohama, na uga wa wazi wa wanateknohama, wawekezaji, kampuni za teknohama, na wadukuzi.
    +
'''INTERNET (Interconnected Networks)''' 
Mkusanyiko wa mitandao inayounga tarakilishi na wanaotumia mtandao duniani.
 +
 +
'''INTERPOL (International Criminal Police Organisation)''' 
Ni shirika la kimataifa linaloendesha ushirikiano baina ya idara za polisi za mataifa wanachama.
Lina mataifa wanachama 190 na makao yake makuu ni Lyon, Ufaransa.
Rais wa shirika hili ni Mireille Ballestrazzi, na katibu mkuu wake akiwa Jurgen Stock.
    +
'''IoE (Internet of Everything)''' 
Mtandao wa vifaa vyote ni neno linaloashiria uwezo wa kuunganisha kila kifaa kwenye mtandao kwa kutumia IP.
    +
'''IoT (Internet of Things)''' 
Ni neno lilobuniwa na Kevin Ashton mnamo mwaka wa 1999.
IoT ni uwezo wa kutambulisha kila kifaa kilichounganishwa mtandaoni kutumia aina ya kipekee {IP} mfano simu, kipepesi, tabiti, tarakilishi, kamera.
    +
'''IP (Internet Protocol)''' 
IP ni nambari za kipekee zinazosaidia kwenye kutambua kila kifaa kilichounganishwa kwa mtandao mfano tarakilishi, kipakatalishi, tabiti, kamera, simu, na printa.
Mfumo wa ugawaji wa nambari za IP umepangwa kwa ngazi ya aina yake:
 +
Juu kuna IANA – tawi dogo la ICANN, ambalo linagawa rasilmali za IP kwa mashirika matano ya mtandao kimaeneo (RIRs).
RIR zinagawa nambari hizi za IP kwa mashirika ambayo hutenga rasilimali hizi kwa mashirika madogo (LIRs), kampuni, na watu binafsi waliopo chini zaidi ya mpangilio wa ngazi.
    +
'''IPR (Intellectual Property Rights)''' 
Haki miliki kwa mwenye kubuni au kuzindua kitu.
 +
IPv4 (Internet Protocol version 4)
Ni aina ya nambari za kipekee zinazotumia anwani yenye nafasi ya biti 32.
IPv4 ilibuniwa miaka ya 1980 na imetumika kwa zaidi ya miaka 30. 
IPV4 ina uwezo wa kumudu anwani bilioni 4.3.
Kati ya hizi anwani 4.3, anwani bilioni 3.7 ndizo zinatumika na vifaa vya kawaida kwenye mtandai. Zilizosalia zinatumika kwenye usambazaji wa anwani spesheli za IP.
Kufuatia kuwa leo hii kuna takribani watu bilioni 3 wanaotumia mtandao, ina maana IPv6 haiwezi kidhii mahitaji ya matumizi kwenye mtandao.
    +
'''IPv6 (Internet Protocol version 6)''' 
Ni aina ya nambari za kipekee zinazotumia anwani yenye nafasi ya biti 128. IPv6 ina anwani trilioni 340 (340 x 10 ^36).
 +
Ili kuweza kuelewa kiundani, ulimwengu wa sayari una nyota bilioni, ilhali IPv6 ina anwani trilioni, na trilioni. Hii ina maana kuwa anwani za IPv6 ni nyingi sana kushinda nyota zilizopo kwenye sayari.
Mzunguko wa dunia kwa jua ni mkubwa kiasi kwamba unaweza kubeba dunia zingine 3,262. Hii ina maana inaweza kuchukua dunia nyingine trilioni 21,587,961,064,546 (kama hii tuliyomo) kuweza kumaliza kabisa anwani zote za IPv6.
    +
'''ISOC (Internet Society)''' 
Ni shirika la kimataifa, lisilo la kifaida ambalo lilizinduliwa mwaka 1992 na Vint Cerf – mvumbuzi wa TCP/IP, na lengo la kutoa mwongozo kwenye maswala yanayohusiana na (standards) mtandao, elimu, matumizi, na sera.
Maono yake ni kuendeleza uwazi, mabadiliko na matumizi ya mtandao kwa manufaa ya watu wote ulimwenguni.

 ISOC inajumuisha vitengo kama vile Internet Engineering Task Force (IETF), Internet Architecture Board (IAB), Internet Engineering Steering Group (IESG), na Internet Research Task Force (IRTF).
 +
Makao makuu ya ISOC yapo Reston, Virginia, Marekani (karibu na Washington, D.C.), afisi zake zipo Geneva, Uswisi. ISOC ina uanachama wa zaidi ya mashirika 140, na wanachama wa 80,000 wa kibinafsi.
Wanachama pia huunda makundi (chapters)kulingana na kanda walizomo au uraibu wao. Kuna makundi (chapters) zaidi ya 110 ulimwenguni.
<nowiki>http://www.internetsociety.org

</nowiki>
    +
'''ISP (Internet Service Provider)''' 
Shirikia (haswa la kibiashara) linalotoa huduma za kuunganisha watu kwenye mtandao.
 +
IT (Informationa Technology)
Matumizi ya vifaa vya teknohama kuweka data, kutoa, kutuma na kadhalika.

    +
'''ITR (International Telecommunications Regulations)''' 
Mkataba uliowekwa mwaka wa 1988 kuwezesha uunganishwaji na utenda kazi baina ya vifaa vya mawasiliano. Mkataba huu ulirekebishwa kwenye kongamano la WCIT lililofanyika Dubai mwaka wa 2012 baada upigaji kura uliozua utata.
http://www.internetsociety.org/itr
   −
I
+
'''ITU (International Telecommunication Union)''' 
Shirika mmoja wapo la umoja wa mataifa lenye makao yake Geneva, Uswisi. Linajihusisha na maswala ya habari na mawasiliano.
http://www.itu.int/en/Pages/default.aspx
IANA (Internet Assigned Names and Authority)
Ni tawi dogo la ICANN linalosambaza rasilmali muhimu za mtandao (IP). IANA inawajibika kugawa rasilmali za IP kwa mashirika matano ya mtandao kimaeneo (RIRs)
http://www.ntia.doc.gov/page/iana-functions-purchase-order
  −
ICANN (Internet Corporation for Assigned Names and Numbers)
Shirika lisilo la kifaida lenye makao yake makuu jiji la Los Angeles, California, Marekani.
ICANN inamudu rasilmali za mtandao kwa manufaa ya umma. ICANN inajulikana kwa wadhifa wake kama mwendeshaji wa kiufundi wa mfumo wa majina mtandaoni (Domain Name System).
http://www.icann.org/
  −
ICANN Fellow
Mtu yeyote anayechaguliwa kwenye program ya ICANN Fellowship.

ICANN Fellowship 
Ni ratiba ya ICANN inayofanyika kwenye kila kongamano la ICANN kwa malengo ya kuwawezesha vijana kutoka maeneo mbali mbali ulimwenguni kuwa viongozi wa siku za usoni kwenye nyanja ya utawala wa mtandao.
http://www.icann.org/resources/pages/fellowship-2012-02-25-en
  −
ICANNLearn
Ni uga huria na wa wazi unaowezesha jamii ya mtandao duniani kufanya kozi zinazohusiana na mijadala ya ICANN na utawala wa mtandao
http://learn.icann.org/

  −
ICANNWIKI 
Ni jamii nambari moja yenye rasilmali ya maelezo – watu, vikundi, na mijadala yenye kuvutia ya ICANN na utawala wa mtandao (IG).
http://icannwiki.com
  −

ICC (International Chamber of Commerce)
Shirika la kushughulikia maswala ya biashara duniani lenye makao yake Paris, Ufaransa.
http://www.iccwbo.org/ 

ICG (IANA Stewardship Transition Coordination Group)
Kundi la kujadili na kuafikia mijadala inayohusu NTIA/ICANN/ na kipindi cha mpwito cha IANA (IANA Transition).
  −
ICT (Information and Communication Technology)
Neno linaloelezea matumizi yote ya teknohama. Mbinu na matumizi yake ni muhimu kwa maendeleo ya kiuchumi, kulingana na mtazamo wa ITU.
http://en.wikipedia.org/wiki/Information_and_communications_technology 

ICTA (ICT Authority)
Ni tume ya serikali ya Kenya iliyoundwa chini ya idara ya habari, mawasiliano na teknohama ili kusimamia shughuli zinazoambatana na sekta hii.
  −
IDN (Internationalised Domain Name)
Majina ya mtandaoni yanayoruhusu nukta zisizo kwenye alfabeti ya kilatini mfano kiarabu, kirusi, kichina.
http://en.wikipedia.org/wiki/Internationalized_domain_name
  −
IEEE (Institute of Electrical and Electronics Engineers)
Shirikisho linaloazimia kuendeleza teknohama na ubunifu.
http://www.ieee.org/about/ieee_history.html
  −
IETF (Internet Engineering Task Force)
Shirika la kiufundi la mtandao lenye uhusiano na ISOC.
http://www.ietf.org/
  −
IG (Internet Governance)
Utawala wa mtandao, unaozingatia mtazamo wa sheria, jamii, lugha, na uchumi mtandaoni.
http://www.diplomacy.edu/IGBook
  −
IG4D (Internet Governance for Development)
Hali ya utumizi wa utawala wa mtandao  (IG) kwa ajili ya maendeleo
  −
IGC (Internet Governance Caucus)
  −
http://igcaucus.org
  −
Shirika la kijamii  linaloendeleza mijadala mtandaoni ili kutatua maswala yanayohusiana na utawala wa mtandao kama vile haki za kibinadamu, utata wa tamaduni, jamii na maendeleo.
A civil society online discussion group to address Internet governance as it affects human rights, social equity
  −
and interdependence, cultural concerns, and social and economic development.
  −
IGF (Internet Governance Forum)
Ni kongamano la washika dau linalojadili maswala yanayohusu sera zenye umuhimu kwa mtandao kama inavyobainiwa kwenye mlango wa 72 wa ajenda ya WSIS (Tunis).
  −
Mojawapo wa matokeo ya kongamano la WSIS ilikuwa ni kuanzisha kongamano la kimataifa la utawala wa mtandao (IGF), ili kuwezesha washika dau kuchangia kwenye mazingira ambayo yataratibu uundaji wa sera za umma. 
Kongamano la kwanza la IGF liliandaliwa Athens, Ugiriki (2006), kongamano la pili (Rio de Janeiro, Brazil-2007), kongamano la tatu (Hyderabad, India-2008), kongamano la nne (Sharm el Sheikh, Misri-2009), Kongamano la tano (Vilnius,Lithuania-2010), sita (Nairobi, Kenya-2011), saba (Baku, Azerbaija-2012), nane (Bali, Indonesia -2013), tisa (Istanbul, Uturuki -2014), kumi (Joao Pessoa, Brazil -2015).
Mwaka huu kongamalo la kumi na moja litaandaliwa mji wa Guadalajara, nchini Mexico (Disemba).
 http:// www.intgovforum.org
  −
IGMENA (Internet Governance for Middle East and North Africa)
Ni kongamano la utawala wa mtandao linalowaunganisha wadau kutoka mashariki ya kati, na kaskazini mwa Afrika kujadili maswala ibuka yanayozungukia utawala wa mtandao (IG)
  −

IGO (Inter-governmental Organisation)
Shirika lililoundwa kutokana na mkataba baina ya mataifa mawili au zaidi, ili kushirikiana kwenye azma na malenga ya pamoja, haswa amani na usalama.

iHub (Innovation Hub)
iHub ni kitovu cha ubunifu kilichopo jijini Nairobi kwa ajili ya jamii ya teknohama, na uga wa wazi wa wanateknohama, wawekezaji, kampuni za teknohama, na wadukuzi.
  −
INTERNET (Interconnected Networks)
Mkusanyiko wa mitandao inayounga tarakilishi na wanaotumia mtandao duniani.
  −

INTERPOL (International Criminal Police Organisation)
Ni shirika la kimataifa linaloendesha ushirikiano baina ya idara za polisi za mataifa wanachama.
Lina mataifa wanachama 190 na makao yake makuu ni Lyon, Ufaransa.
Rais wa shirika hili ni Mireille Ballestrazzi, na katibu mkuu wake akiwa Jurgen Stock.
  −
IoE (Internet of Everything)
Mtandao wa vifaa vyote ni neno linaloashiria uwezo wa kuunganisha kila kifaa kwenye mtandao kwa kutumia IP.
  −
IoT (Internet of Things)
Ni neno lilobuniwa na Kevin Ashton mnamo mwaka wa 1999.
IoT ni uwezo wa kutambulisha kila kifaa kilichounganishwa mtandaoni kutumia aina ya kipekee {IP} mfano simu, kipepesi, tabiti, tarakilishi, kamera.
  −
 
  −
IP (Internet Protocol)
IP ni nambari za kipekee zinazosaidia kwenye kutambua kila kifaa kilichounganishwa kwa mtandao mfano tarakilishi, kipakatalishi, tabiti, kamera, simu, na printa.
Mfumo wa ugawaji wa nambari za IP umepangwa kwa ngazi ya aina yake:
  −
Juu kuna IANA – tawi dogo la ICANN, ambalo linagawa rasilmali za IP kwa mashirika matano ya mtandao kimaeneo (RIRs).
RIR zinagawa nambari hizi za IP kwa mashirika ambayo hutenga rasilimali hizi kwa mashirika madogo (LIRs), kampuni, na watu binafsi waliopo chini zaidi ya mpangilio wa ngazi.
  −
IPR (Intellectual Property Rights)
Haki miliki kwa mwenye kubuni au kuzindua kitu.
  −
IPv4 (Internet Protocol version 4)
Ni aina ya nambari za kipekee zinazotumia anwani yenye nafasi ya biti 32.
IPv4 ilibuniwa miaka ya 1980 na imetumika kwa zaidi ya miaka 30. 
IPV4 ina uwezo wa kumudu anwani bilioni 4.3.
Kati ya hizi anwani 4.3, anwani bilioni 3.7 ndizo zinatumika na vifaa vya kawaida kwenye mtandai. Zilizosalia zinatumika kwenye usambazaji wa anwani spesheli za IP.
Kufuatia kuwa leo hii kuna takribani watu bilioni 3 wanaotumia mtandao, ina maana IPv6 haiwezi kidhii mahitaji ya matumizi kwenye mtandao.
  −
IPv6 (Internet Protocol version 6)
Ni aina ya nambari za kipekee zinazotumia anwani yenye nafasi ya biti 128. IPv6 ina anwani trilioni 340 (340 x 10 ^36).
  −
Ili kuweza kuelewa kiundani, ulimwengu wa sayari una nyota bilioni, ilhali IPv6 ina anwani trilioni, na trilioni. Hii ina maana kuwa anwani za IPv6 ni nyingi sana kushinda nyota zilizopo kwenye sayari.
Mzunguko wa dunia kwa jua ni mkubwa kiasi kwamba unaweza kubeba dunia zingine 3,262. Hii ina maana inaweza kuchukua dunia nyingine trilioni 21,587,961,064,546 (kama hii tuliyomo) kuweza kumaliza kabisa anwani zote za IPv6.  
     −
ISOC (Internet Society)
Ni shirika la kimataifa, lisilo la kifaida ambalo lilizinduliwa mwaka 1992 na Vint Cerf – mvumbuzi wa TCP/IP, na lengo la kutoa mwongozo kwenye maswala yanayohusiana na (standards) mtandao, elimu, matumizi, na sera.
Maono yake ni kuendeleza uwazi, mabadiliko na matumizi ya mtandao kwa manufaa ya watu wote ulimwenguni.

ISOC inajumuisha vitengo kama vile Internet Engineering Task Force (IETF), Internet Architecture Board (IAB), Internet Engineering Steering Group (IESG), na Internet Research Task Force (IRTF).
+
'''IXP (Internet Exchange Point)''' 
Ni muundo mbinu ambao unaruhusu kubadilishana kwa mawasiliano baina ya mitandao tofauti, haswa kupitia maelewano
Makao makuu ya ISOC yapo Reston, Virginia, Marekani (karibu na Washington, D.C.), afisi zake zipo Geneva, Uswisi. ISOC ina uanachama wa zaidi ya mashirika 140, na wanachama wa 80,000 wa kibinafsi.
Wanachama pia huunda makundi (chapters)kulingana na kanda walizomo au uraibu wao. Kuna makundi (chapters) zaidi ya 110 ulimwenguni.
http://www.internetsociety.org

ISP (Internet Service Provider)
Shirikia (haswa la kibiashara) linalotoa huduma za kuunganisha watu kwenye mtandao.
  −
IT (Informationa Technology)
Matumizi ya vifaa vya teknohama kuweka data, kutoa, kutuma na kadhalika.

  −
ITR (International Telecommunications Regulations)
Mkataba uliowekwa mwaka wa 1988 kuwezesha uunganishwaji na utenda kazi baina ya vifaa vya mawasiliano. Mkataba huu ulirekebishwa kwenye kongamano la WCIT lililofanyika Dubai mwaka wa 2012 baada upigaji kura uliozua utata.
http://www.internetsociety.org/itr
  −
ITU (International Telecommunication Union)
Shirika mmoja wapo la umoja wa mataifa lenye makao yake Geneva, Uswisi. Linajihusisha na maswala ya habari na mawasiliano.
http://www.itu.int/en/Pages/default.aspx
  −
IXP (Internet Exchange Point)